Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Ujinga wa watu wa nchi hii ni kweli japo panaweza pasiwe na takwimu au tafiti iliyofanyika.
Lakini kuita watu wajinga halafu kwenye post hiyo hiyo ukaonyesha ufinyu wa ku reason ni ujinga wa namna yake pia.
Hoja ya mtoa mada si Rais aonekane kwenye media kila siku, kwa hiyo hoja unayotumia si relevant kwa mjadala huu.
 
Kusini ni mabingwa sana kwa kusoma kitabu na kuchanganya na mengine, sasa sijui kijana wao wa kimakonde aliwaitisha wazee kikao wakati wa ziara?!
 
Hivi kikwete na walivokuwa wanaumwa watu walishangilia hivihivi? Kama hawakushangilia basi kuna tatizo.
Unawajua wabongo wewe?? Hebu wasome hapa kipindi jk kaanguka jukwaani hadi mods wakaamua kuufunga uzi!
 
Ni kweli taarifa zinazoenea mitandaoni zinaleta taharuki tuna haki ya kujulishwa alipo rais wetu kipenzi wakiacha ziendelee hivi hivi wananchi wataamini uzushi huu kuwa ni kweli.
 
Mambo makubwa unayosema unayaona kwa kutumia darubini gani? Mbona sisi wengine hatuyaoni??
Unadhani kumpiga tundu lisasi 38 ni jambo dogo??
 
Na aliyebomoa umoja tumuiteje?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…