Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raisi akiondoka leo basi makamu wa raisi anaapishwa. Hivi huwa unasoma hata katiba kweli?Raisi lazima ategemewe ktk nchi iwe isiwe unajua gharama za kumchagua raisi mpya endapo litatokea la kutokea?(japo siombei)
watu wakiamua mambo yao hata utembee na uzio wa chuma wana kumaliza tu. na uzio wote ule anaotembea nao haikufua dafu?Kuna wahuni na baadhi ya wanasiasa tuliowaheshimu wameonesha kushangilia tetesi hizo! Tabia za kichawi kabisa hata kama huwangi usiku.
Rais wetu ametenda mambo makubwa na yenye manufaa kuliko madhaifu mnayomhukumu nayo na kumtakia mabaya.
Serikali itoe taarifa rasmi badala ya kuacha redio za mbao ziendelee kulisha jamii chuki na tabia mbaya kabisa kuombeana mabaya kwa matamanio binafsi.
Ukweli haupiganiwi bali unajipigania.
Ni kweli mkuu!
Mi nimeona kule twitter,maria sarungi,zitto kabwe na account yake ya kigogo na hata yule mama fyatu karume woote wameshangilia uvumi ule ,
Lakini bi vema kumjua adui yako kabla.
Kaka si wewe, nasikia machozi yananitoka kwa rais anayeipenda nchi yake halafu, wanatokea watu wa aina hii kuleta maneno ya uzushi na kejeli kubwa hivi. Hata kama kuna shida si wasubiri protocal zifanye kazi?!!!
Nikuulize wewe unasoma katiba? Unajua makamu wa raisi anakaa kwa muda gani kabla ya kuitisha uchaguzi mwingine kumtafuta raisi atakayerithi wadhifa wa raisi aliyeondoka?Raisi akiondoka leo basi makamu wa raisi anaapishwa. Hivi huwa unasoma hata katiba kweli?
Wakisema anaumwa watu watakesha Bar
Mkuu kama ume Panic hiviAlafu baadae unawaona makanisani, misikitini!! Mkemea maovu hukemea kila uovu. Hao wanaharakati wanataka wao tu watendewe haki lakini haki za mahasimu wao wanataka hukumu hata za kufa kwa chuki tu!
Buhari alishapotea mpaka wakazusha kuwa Buhari alifariki wakamweka mtu anayefanana naye akalie kiti. Nakumbuka ilikuwa kazi sana kuwashawishi wanigeria.Kwani mpaka sasa hajaonekana hadharani kwa miezi mingapi
Akionekana kila siku shida asipoonekana shida.Mbona kule Nigeria buhari anaweza kukaa hata miezi 3 bila kujulikana aliko
Hiyo taharuki kaleta nani?Lakini Mkuu kuna sintofahamu na taharuki kwa sasa,kwa nn tusijuzwe tuelewe yu wapi Rais wetu,Kuna maneno mengi sana ya mafumba ambayo yanaendelea kwenye mitandao ya kijamii tujuzwe tufahamu!