MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,365
Bado nakumbuka risasi alizopigwa Lissu pamoja na Ile iliomuua Aquilina, Ni moja Kaya Jambo baya kutokea katika nchi yetu dhidi ya kuumiza binadamu na wamesema hawajui Nani alihusika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ameonekana kila siku kwa siku 30 zote za mwezi wa Septemba ? Kama kuna siku hakuonekana, walihoji?Sasa kama rais alionekana juzi alafu leo wanahoji maana yake nini. Maana yaka wanataka kumuona kila siku. Pia mkitangaziwa tu kama rais yupo sawa bila ya kumuona kwenye media lazima pia watu wahoji kwanini watangaziwe na wasimuone. Watz mpaka leo hawajui wanachokitaka wapo wapo tu. Sijui nani katuroga.
[emoji23][emoji23]Vya kichakata viazi
Nchi Ina maliasili nyingi hii, Kama imepokea uchaguzi tunafanya tu.Raisi lazima ategemewe ktk nchi iwe isiwe unajua gharama za kumchagua raisi mpya endapo litatokea la kutokea?(japo siombei)
Uovu ni kuua si kufa kwa natural causes. Kushangilia kifo cha mwenzako ni uovu pia, labda kama una utamaduni wa kusheherekea vifo kwa nia isiyo mbaya.Alafu baadae unawaona makanisani, misikitini!! Mkemea maovu hukemea kila uovu. Hao wanaharakati wanataka wao tu watendewe haki lakini haki za mahasimu wao wanataka hukumu hata za kufa kwa chuki tu!
mna wasiwasi tu wa bure yule ni jiwe hatingishiki hovyohovyo hata kwa ugonjwa
Rais yupo kwenye mapumziko mafupiTuambie basi yupo wapi labda unajua alipo. Af mimi huwa naamini kitu kimoja. Kama japo likisemwa halafu lisikanushwe na yeyote basi kuna ukweli.
Kwa hiyo wewe unabagua chuki? Kuchukia watu kwa misingi ya kiitikadi haukuoni wewe? Eti hakuna kupeleka fedha za miradi katika majimbo ya wapinzani na hauoni kuwa huo ni ubaguzi na kupanda chuki? Mbona unakuwa mjinga kupita kiasi?
Kwani mpaka sasa hajaonekana hadharani kwa miezi mingapi
Akionekana kila siku shida asipoonekana shida.Mbona kule Nigeria buhari anaweza kukaa hata miezi 3 bila kujulikana aliko
..wee usiombee jambo hilo sisi wanyonge tutapata tabu sana miaka 60 yote hakuwai kutokea mtu wakutusemea kututetea na kutujali nchi ilikua mikononi mwa majizi ya kila namna..eee mola wangu ibaliki nchi yetu rais wetu na wananchi wote.AminaNchi Ina maliasili nyingi hii, Kama imepokea uchaguzi tunafanya tu.
Mkuu sio vema kwa haya uliyotamka kumbuka Mungu ni wa wote anaweza akafanya kwa upande wako kwa haya unayomuombea mwenzako.God do your will
Si mnasema hali ni ngumu hamna pesa? Au hamna pesa za madili?Wakisema anaumwa watu watakesha Bar