Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kwani ameonekana kila siku kwa siku 30 zote za mwezi wa Septemba ? Kama kuna siku hakuonekana, walihoji?
Hayo mengine ni hisia hatuwezi argue in fact.
 
Ndo maana Leo magazeti hayajauza nakala nyingi maana huyu MTU hayupo front page kbs. Wala TBC kuleta hata nusu SAA kurudia ziara zake
 
Bwana ni mwema wakati wote naamini jemedali wetu wa vita yuko salama kabisa
 
Alafu baadae unawaona makanisani, misikitini!! Mkemea maovu hukemea kila uovu. Hao wanaharakati wanataka wao tu watendewe haki lakini haki za mahasimu wao wanataka hukumu hata za kufa kwa chuki tu!
Uovu ni kuua si kufa kwa natural causes. Kushangilia kifo cha mwenzako ni uovu pia, labda kama una utamaduni wa kusheherekea vifo kwa nia isiyo mbaya.
Wakati unaonyesha hypocrisy wa wanaharakati, usiache kuzungumzia hypocrisy ya walioshangilia ya kampeni za Pushups za 2015.
 
Jamani tuacheni utani aiseee

Rais ni mzima kweli??? Mbona watu wanapandisha presha aseeeee

Kwanini ikulu isiweke wazi tujue moja, kama ni mgonjwa au LA!!!!!

Daaahh
 
Kwa hiyo wewe unabagua chuki? Kuchukia watu kwa misingi ya kiitikadi haukuoni wewe? Eti hakuna kupeleka fedha za miradi katika majimbo ya wapinzani na hauoni kuwa huo ni ubaguzi na kupanda chuki? Mbona unakuwa mjinga kupita kiasi?

Achana na huyo jamaa, anajifanya anaumia wakati Tundu Lissu kaumizwa nusura ya kuuwawa na wamegoma kumtibia, hilo kwake sio hoja. Huyo jamaa anazunguka nchi anaeneza chuki za kisiasa, saa hii unatoka mrejesho anakimbia majibu.
 
Nchi Ina maliasili nyingi hii, Kama imepokea uchaguzi tunafanya tu.
..wee usiombee jambo hilo sisi wanyonge tutapata tabu sana miaka 60 yote hakuwai kutokea mtu wakutusemea kututetea na kutujali nchi ilikua mikononi mwa majizi ya kila namna..eee mola wangu ibaliki nchi yetu rais wetu na wananchi wote.Amina
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…