Kingkorlar
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 875
- 995
Mbona mtaalam mimi ninaonesha furaha 😀😀😀[emoji30][emoji30][emoji30]
Mbona Mkuu Kipara kipya, unanung'unika sana??Kwakweli nchi inahitaji maombi makubwa sana wachawi wameanza kuroga watu mchana kweupe mbuzi anakula majani bila aibu,ramli zinapigwa kweupe bila aibu,
Jamani wachawi hawa wakiachiwa na ulozi wao wanaweza kuuwa watu au kudhuru kweupe.
Ni vyema kila mmoja kwa dini yake akaongeza maombi kulishinda hili kundi hatari la wachawi!
Kwa mara ya kwanza wachawi wanajitangaza hadharani!
Vipi;huko uliko hali inaendaje!Sijamchulia mtu hapa mwenyewe niko mochwari
Magufuli anawapa tabu wajinga wengi wa nchi hii aisee
Kitapita akifa ndugu yako
Vipi hata akikumwagia "pumbavu"zako hadharani mbele za watu!!!?Rais Ni mtu mkubwa Sana na dhamana yake ni kubwa mno siwezi kumuombea mabaya hata kidogo
Kuna mwenye roho mbaya kumshinda huyo jiweRoho mbaya haijengi na mara nyingi huwa haifanikiwi,Mungu ampe wepesi Rais wetu hope wazushi watashindwa
Muanze kuatafta mapambio mapya mapema kwa ajae...Kwa mara ya kwanza wachawi wanajitangaza hadharani!
Sikh zote mbona huwa anaenda likizo Chattle kwa kujimwambafai ktk luninga? Kwann iwe siri sasa?Mtu alikua katika ziara, ameamua ajipe mapumziko, huku nje tayari watu wanaongea, au mnataka mmuone kila siku! Mwacheni mzee wa watu nae ale bata
IkuluYuko wapi sasa?