Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kwakweli nchi inahitaji maombi makubwa sana wachawi wameanza kuroga watu mchana kweupe mbuzi anakula majani bila aibu,ramli zinapigwa kweupe bila aibu,
Jamani wachawi hawa wakiachiwa na ulozi wao wanaweza kuuwa watu au kudhuru kweupe.
Ni vyema kila mmoja kwa dini yake akaongeza maombi kulishinda hili kundi hatari la wachawi!
Mbona Mkuu Kipara kipya, unanung'unika sana??

Hii post ina uhusiano wowote na tetesi zinazoendelea kusambaa kwenye mitandao ya kijamii??
 
Nimecheka sana Kipara Kipya kweli hakina akili
Kwa mara ya kwanza wachawi wanajitangaza hadharani!
tapatalk_1567627458569.jpeg
 
Ni kweli mkuu hawa wachawi wanapita mitaaani wanasema Mzee Nyerere hakufanyakitu kwa maendeleo ya Tanzania ,sasa tuwaulize mbona walisomeshwa bure ,yaani kuanzia chupi,gagulo,kaniki,penseli ,uji unaukuta shuleni leo hii walimu ndio wanaowafanyia wanafunzi mitihani na wao wanashangilia,kwa kweli hawa ni wachawi inabidi wapate naomba,nyerere alikuwa na kiwanda cha viatu a.k.a Bora ,leo hii wao wanaongopa kwa kiwanda cha gabacholi si uchawi huo jamani!!
 
Mtu alikua katika ziara, ameamua ajipe mapumziko, huku nje tayari watu wanaongea, au mnataka mmuone kila siku! Mwacheni mzee wa watu nae ale bata
Sikh zote mbona huwa anaenda likizo Chattle kwa kujimwambafai ktk luninga? Kwann iwe siri sasa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom