Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Sote tumezaliwa wajinga, tunahitaji bidii kidogo ili kuwa na maarifa, au bidii kubwa sana ili kuendelea kubaki wapumbavu. Baadhi huchagua njia ya pili.” *Benjamin_Franklin* Tuacheni petty politics zinazoongwa na Taarifa za Ramli na kuombea tusiowapenda Mabaya
 
Naona mnazidi kuongeza taharuki nchini...
Ebu ngoja nisubiri tu kusikia wimbo wa taifa ukipigwa redioni kabla ya kutangaza habari kamili
 
sifi kwa jina la Yesu Kristo mpaka niwe na 100+ yrs,week ijayo watatangaza msiba wa huyo makufuli muuaji wa wapinzani, ntakuja kukuquote hii comment yako kwa furaha sanaa na kicheko kikubwa,anaua watu kumbe na yeye anazidiwa Hadi ICU,afe tu

Wahenga walisema ahadi ni deni!
 
Wapo waliowaombea mabaya Lissu, Ben Saa8, Mawazo n.k! Uliwapa neno lolote? Au kwakuwa sio marais?
Haya mambo ya kuombeana mabaya tuache, Mungu ndiyo anayejua afya ya mtu, Mungu ndiyo anaetupa afya. Mambo ya kuzushiana mabaya tuache ni hekima na ni busara kuheshimu afya za binadamu wezentu kila mtu anaweza kuugua.
 
Hivi madam una familia? Ipe a familia yako muda wa kuwa nayo japo kidogo kama unayo. Mbona jf 24hrs? Alafu kwa umri wako ebu achana stori za kifacebook. Unapenda sana umbea.
kwani wewe umeshaolewa?
 
Mungu hupokea maombi ya wenye haki
 
Kweli najua watanzania wengi uelewa wetu mdogo na elimu hairidhishi sana, kilichonishtua zaidi ni wingi wa kundi la watu wenye roho mbaya.

Hii ni hatari kubwa kuliko wale maadui watatu aliowaainisha Baba wa Taifa (Ujinga, Umasikini na Maradhi).
Roho mbaya ya watanzania uiitayo wewe imetengenezwa na huyo huyo JIWE...."what goes around........"
 
Malaika mkuu ndio ana roho Mbaya...
Kweli najua watanzania wengi uelewa wetu mdogo na elimu hairidhishi sana, kilichonishtua zaidi ni wingi wa kundi la watu wenye roho mbaya.

Hii ni hatari kubwa kuliko wale maadui watatu aliowaainisha Baba wa Taifa (Ujinga, Umasikini na Maradhi).
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…