kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Roho mbaya inapandikizwa, inatunzwa na inalelewa na inakuwa na kuanza kufanya yake kwenye jamii. Waswahili wanasema mwanzo wa ubaya mwisho wake ni aibu.
Kumbuka roho mbaya haina mwelekeo leo kwako kesho kwake, ukiwa na roho mbaya jua lazima lazima mishare ya maumivu unayotoa itachoma watu huko mwisho wa siku itageuza njia ikurudie wewe mwenyewe. Angalia Hiltler, IdiAmin, Musolin, Bokasa, Bashir, Sadamu, Said Bare, Mabutu na wengine wengi chuki zao zilipowajeukia wao wenyewe.
Pia tambua si lazima upendwe na kila mtu, hata wanaokuombea mabaya wakubari tu ili mzani ubalance.
Pia jifunze kitu kwenye hiyo idadi kubwa ya watu wenye roho mbaya kuna kitu wanaashiria.
utakesha bure,hakuna chochoteHaki ya nani mi najitolea kukesha mpaka nijue nini kinaendelea aisee
Unitag mkuuSubiri breaking news
Afadhali topic yako ina hopes,...maana sio kwa kuogopa huku..
utakesha bure,hakuna chochote
Tatizo wanaficha
sina,ila sio kwa chuki hizi...Kwani una undugu nae?
KabisaTumuombee hata kama ni wachache..πππππ’π’π’
Huu ni mfano wa kibwege kishamba kijinga sana, watanzania wabobezi wapo UK ipi? acha ujinga wako acha kuvuta Bangi kisha kutengeneza propaganda za kiwendawazimu ukazani watanzania ni wajinga kama wewe, hakuna asiyejua mabaya aliyotendewa Tundu lisu na wote wanafahamu bila ubaya wenu unyama wenu Tundu lisu leo hii asingekuwa huko alipo sasa, mungu ni mwema na malipo ni hapa hapa DunianiTL mjanja kakimbilia marekani kwa sababu kuna Watanzania wengi kule ambao wanamchangia pesa kwa sababu ufahamu wao uko chini sana, hathubutu kukanyaga nchi kama Wingereza ambako wapo Watanzania wabobezi na hawawezi kumchangia kibaka kama TL. Anakimbilia kwenye soft touch.
Kwani kimsingi ukipitia maandiko yao yoote kuna aliyemtaja mkulu. Au na wewe unahishis tuu?πππππππIdara ya usalama wa taifa mmeteleza kwa kweli,
watu hawa;
maria sarungi, fatma karume, nkuna, suphian, hilda, tito, n.k ni wazi walitakiwa wapate adhabu ambayo ingekuwa fundisho dunia nzima
Haiwezekani kejeli, uongo kwa raisi ndio maisha yao ya kila siku.
Malaika mkuu ndio ana roho Mbaya...
Makamu Wa rais atamuwakilisha...taarifa tayarHii sasa inaitwa moja + moja ni 11View attachment 1238704
hakuna kitu,we lala tuNidhibitishie mkuu uokoe usingizi wangu
Imekuja, katumbua mkurugenzi Na Mkuu Wa wilaya huko kusini..Dah wametuchomesha sana mahindi. Mbona breaking news haiji?
Kumchukia, au kufurahia baya lolote linalompata mwingine haimsaidii yeyote zaidi ya kumzidishia roho mbaya.