Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Roho mbaya inapandikizwa, inatunzwa na inalelewa na inakuwa na kuanza kufanya yake kwenye jamii. Waswahili wanasema mwanzo wa ubaya mwisho wake ni aibu.

Kumbuka roho mbaya haina mwelekeo leo kwako kesho kwake, ukiwa na roho mbaya jua lazima lazima mishare ya maumivu unayotoa itachoma watu huko mwisho wa siku itageuza njia ikurudie wewe mwenyewe. Angalia Hiltler, IdiAmin, Musolin, Bokasa, Bashir, Sadamu, Said Bare, Mabutu na wengine wengi chuki zao zilipowajeukia wao wenyewe.

Pia tambua si lazima upendwe na kila mtu, hata wanaokuombea mabaya wakubari tu ili mzani ubalance.

Pia jifunze kitu kwenye hiyo idadi kubwa ya watu wenye roho mbaya kuna kitu wanaashiria.

Mie nilishaamua na kuchagua kuwa na roho nzuri. Na ndio naendelea kujifunza kuendelea kuwa hivyo diku zote za maisha yangu.

Kuwa na roho mbaya kwangu ni mzigo sana, siwezi kuubeba.

Lakini ukiona roho mbaya inakusukuma kufurahia na kuamini tetesi ujue inaelekea hatua mbaya zaidi, inaweza kuwa uchawi.
 
TL mjanja kakimbilia marekani kwa sababu kuna Watanzania wengi kule ambao wanamchangia pesa kwa sababu ufahamu wao uko chini sana, hathubutu kukanyaga nchi kama Wingereza ambako wapo Watanzania wabobezi na hawawezi kumchangia kibaka kama TL. Anakimbilia kwenye soft touch.
Huu ni mfano wa kibwege kishamba kijinga sana, watanzania wabobezi wapo UK ipi? acha ujinga wako acha kuvuta Bangi kisha kutengeneza propaganda za kiwendawazimu ukazani watanzania ni wajinga kama wewe, hakuna asiyejua mabaya aliyotendewa Tundu lisu na wote wanafahamu bila ubaya wenu unyama wenu Tundu lisu leo hii asingekuwa huko alipo sasa, mungu ni mwema na malipo ni hapa hapa Duniani
 
Idara ya usalama wa taifa mmeteleza kwa kweli,
watu hawa;
maria sarungi, fatma karume, nkuna, suphian, hilda, tito, n.k ni wazi walitakiwa wapate adhabu ambayo ingekuwa fundisho dunia nzima
Haiwezekani kejeli, uongo kwa raisi ndio maisha yao ya kila siku.
Kwani kimsingi ukipitia maandiko yao yoote kuna aliyemtaja mkulu. Au na wewe unahishis tuu?😂😂😂😂😂😂😂
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom