Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 831
- 770
Tupo tunawaorodhesha wapiga ramli ww si manengelo wa ifakara kwa mama msukuma..jiandaeOff topic.....Vyakula vya misibani sijui kwanini huwa vina ladha..pilau la msibani jamani ni tamu kweli kweli!
Bdw nimemis tu pilau..
Kumbe[emoji848]Tuko tunajenga viwandaaa.
Get well soon hon.jpm. Mungu mpe maisha marefu rais wetu moendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa jina la yesu,amen
Iangalie isije ikakujia vibaya kwa nyuma ukajikuta sio furaha tena ni kilioLeo nahisi kuna furaha nitaipata kabla sijalala
Mkuu hili LA kutoheshimu haki za binadamu hapa bongo lishakomaa...Kule mbeya chalamila anasema mwanamke asipoolewa atwangwe fimbo...lissu alinyimwa hata haki ya kusikilizwa akanyang'anywa ubunge.We ndo unatakiwa upigwe ban kwa kutoheshimu haki za binadamu...
We ungekuwa na uwezo ungeweza kumuua Raisi wetu...
You're the one who deserve to be banned from from JF even for life...
Jinga kabisa wewe.
Eti MATAGA ndio nini au nani?
Lete story yako ya uhakika wa afya yake basiMi naona ni story tu kama story zingine,,,,,,and trust me,,,,Rais ni mzima wa afya
Anamwakilisha kwani ye yuko wap?
Mnagombana kwa habari msizokuwa na uhakika nazo. Muwe nasubira.Hata walompiga risasi Lissu wana roho za kishetani kama za huyu lofa,unawezaje kufurah m2 afe hata kama humpendi kwa degree ya juu kiasi hiko,hivi makanisani na misikitini tunaenda kufanya nn sasa...!!!?
MILELEAmeen
Naomba yeyote mwenye kujua kilichojificha nyuma ya pazia Ani pm tagadhaliHaumwi ww get well soon ya nn