Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
We ndo unatakiwa upigwe ban kwa kutoheshimu haki za binadamu...
We ungekuwa na uwezo ungeweza kumuua Raisi wetu...
You're the one who deserve to be banned from from JF even for life...
Jinga kabisa wewe.
Mkuu hili LA kutoheshimu haki za binadamu hapa bongo lishakomaa...Kule mbeya chalamila anasema mwanamke asipoolewa atwangwe fimbo...lissu alinyimwa hata haki ya kusikilizwa akanyang'anywa ubunge.
 
Nje ya mada...
Kama kuna mwenye namba ya simu mwandishi wa Tbc anisaidie nina shida nayo
 
Hata walompiga risasi Lissu wana roho za kishetani kama za huyu lofa,unawezaje kufurah m2 afe hata kama humpendi kwa degree ya juu kiasi hiko,hivi makanisani na misikitini tunaenda kufanya nn sasa...!!!?
Mnagombana kwa habari msizokuwa na uhakika nazo. Muwe nasubira.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom