Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Ukweli kibinadamu huwezi furahia mwenzio kupata mabaya, hizi chuki sijui nani alizianzisha... haya ni matokeo tu
 
Mkuu kwanini unahangaika namna hii? Ungekuja na taarifa mbadala kuthibitisha unachokiamini wewe kuwa ni sahihi, nadhani ingependeza zaidi.
Hivi ww mtu asipumzike watu wanaanza ujinga nchi iko kazini jidanganyeni msivuke mipaka ya mijadala bora hawa wanataja kwa mafumbo huyo mjinga Hustling anataja jina hv anaijua dola au aanaisikia
 
Half pole flying flag hi oicha ya Lino naona hapo ni Molina I city
 
Kwa LISSU Ilikuwaje? Had I mkasema kakimbia jimbo katelekeza wananchi wakati aliimia hivi.
KARMA IS A BITCH.
 
Hivi ww mtu asipumzike watu wanaanza ujinga nchi iko kazini jidanganyeni msivuke mipaka ya mijadala bora hawa wanataja kwa mafumbo huyo mjinga Hustling anataja jina hv anaijua dola au aanaisikia
Upuuzi mtupu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…