Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Kiza kinene sioni pa kupapasa [emoji124]
Ushasema Giza nene, sasa unataka uone nini mkuu
acha tu kupapasa kwani lazima.??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiza kinene sioni pa kupapasa [emoji124]
Anamwakilisha kwani ye yuko wap?
Mkwara MBUZI huo, utoto mtupu.Ww tutakunyofoa kuanzia ukucha mpaka moyo
haya haya hayaaa
hiyo picha ni zamani sema anatumia kuleta taharukiNaona mnazidi kuongeza taharuki nchini...
Ebu ngoja nisubiri tu kusikia wimbo wa taifa ukipigwa redioni kabla ya kutangaza habari kamili
Hivi ww mtu asipumzike watu wanaanza ujinga nchi iko kazini jidanganyeni msivuke mipaka ya mijadala bora hawa wanataja kwa mafumbo huyo mjinga Hustling anataja jina hv anaijua dola au aanaisikiaMkuu kwanini unahangaika namna hii? Ungekuja na taarifa mbadala kuthibitisha unachokiamini wewe kuwa ni sahihi, nadhani ingependeza zaidi.
SawaMkwara MBUZI huo, utoto mtupu.
Hii sasa inaitwa moja + moja ni 11View attachment 1238704
Bora ww unasema jiwe unajitambuaNaona huamini kinachotokea sababu Jiwe ndio alikuwa anakuweka Mjini
Half pole flying flag hi oicha ya Lino naona hapo ni Molina I cityMzuqa!
Hii Lugha ya malkia kweli ilikuja na meli. Hule mlingoti wa kupeperusha bendera nilidhani unaitwa tu flagpost kwa Kiingereza kumbe hata jina la mast linatumika kwa mfano the flag is flying half mast yani nusu mlingoti.
Aidha Kiingereza kinachanganya zaidi unaweza kutamka neno moja lakini ikawa na tofauti katika maandishi mfano morning na mourning.
Waiter kaa stendby!
View attachment 1238717
Cc Etwege Magonjwa Mtambuka
Huyu Mshana ndio kasema nini hapo juu??😞
Kwa LISSU Ilikuwaje? Had I mkasema kakimbia jimbo katelekeza wananchi wakati aliimia hivi.Siyo hekima kuyafurahia matatizo ya mwenzako hata kama mnatofautiana kwa kiwango gani.wote sisi tuna mabaya yetu hata watoto wetu kwenye familia zetu sometimes kuna wakati wanatuchukia ila hawatuombei mabaya kama tunavyojaribu kuwaombea wenzetu.
Tuwe na mioyo tusiongozwe na hisia!!;
Naona hii ID mpya imekuja Kwa kazi maalumu, joined date 20 September 2019Bora ww unasema jiwe unajitambua
Upuuzi mtupu.Hivi ww mtu asipumzike watu wanaanza ujinga nchi iko kazini jidanganyeni msivuke mipaka ya mijadala bora hawa wanataja kwa mafumbo huyo mjinga Hustling anataja jina hv anaijua dola au aanaisikia
Mijadala ya kistaarabu inahitajikaNaona hii ID mpya imekuja Kwa kazi maalumu, joined date 20 September 2019
Kuwa na amani ..Nini hiki yarabi
Wala sio upuuzi Mzee yupo vizuri ana ugeni maalamu kwa masilahi mapana ya nchiUpuuzi mtupu.