VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
Eti alipokuja msimamizi! Nyie watu sijui mmerogwa na nani!!! Mambo yanaendeshwa nyuma ya pazia halafu mnataka kudanganya watu kwamba msimamizi! Si ni huyo huyo unayedai ni msimamizi ndie alitamka hadharani kwamba RC wake amesaidia watu kukwepa kodi?! Unaweza kumsaidia mtu kukwepa kodi hivi hivi?! Alimchukulia hatua gani baada ya kuthibitisha amehusika na ukwepaji kodi?! Kuna mengine mangapi aliyafanya ambayo wananchi hawayafahamu?!Nchi hii ina watu wa ajabu sana.
Na tatizo la vijana wetu wengi walipenda short cuts to successful,
Sasa alipokuja msimamizi ndio hii hali tunayoiona hapa.
Hao niliowaona pale twitter wengi wao ndio hao waliokuwa na vi NG'OS vyao.
Lakini zama zilipobadilika sasa ni sumu tupu.
Lakini awali ya yote msimamizi wa uhai wa binadamu ni MUNGU mwenyewe so usishangae ndani ya muda mfupi ujao hao washereshaji wakatangulia wao.
Ni akili ya kijinga xana kumfurahia umauti binadamu mwenzako.
Tena kwa sababu za kiwizi wizi tu.
Anyway yote tumuachie mola.
Umelewa wewe, eti?Wala sio upuuzi Mzee yupo vizuri ana ugeni maalamu kwa masilahi mapana ya nchi
Ulishangilia au kuchukizwa na kitendo cha kumpiga risasi Tundu Lissu?
Tuanzie hapo mengine yafuate.
I can'tYou can call me that
Mkuu unafukuzwa na wachawi nini?Half pole flying flag hi oicha ya Lino naona hapo ni Molina I city
Hujui chochote nyamazaUmelewa wewe, eti?
Wanaashiria Tanzania mpya ipo njiani kuanzaHakuna siku niliyo kaa na "TENSHENI" kama jana na leo...!!
Na huku kwetu usiku huu ni VILIO vya Mbwa tuu, Sijajua wanaashiria nini..!!
Mshana naomba Utabiri wako.
Duh .... yuko safi tu. Mafisadi na majambazi wa nchi wasichekelee sana..Heshima kwenu wakuu,
Kuna habari zinasambaa kwamba Rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza Ziara huko Kusini ili kushughulikia Masuala mengine ya Kitaifa. Hili sina tatizo nalo.
Kinachoniumiza na kunitatiza ni kuona Taasisi ya Rais akiwemo Msemaji Mkuu wa Ikulu na Msemaji wa Serikali kutokanusha au kuweka sawa habari hizi zinazosambaa na kuacha watu waendelee kumsema vibaya Rais wetu. Ukiacha uongo ukaendelea kuongelewa unageuka kuwa kweli.
Rais sio mali ya Ikulu bali ni mali ya Watanzania wote wa vyama vyote, dini zote, rangi zote na Makabila yote.
Msemaji wa Ikulu, Gerson Msigwa huwa ni mwepesi kukanusha na kutupa update za Rais. Ajitafakari kwa hili kama vipi ajiuzulu tu. Kazi imemshinda ya kuwatumikia Watanzania.
Tunapata wakati mgumu kuelewa.
Kama anaumwa sio jambo la kushtua pia kwani maradhi kwa binadamu ni kawaida, kama anaumwa ni haki wananchi wake wakajulishwa na maendeleo yake yakaelezwa kwa uwazi.
Tumefanya hivyo kwa Baba wa Taifa Nyerere, Askofu Mkuu Mwandamizi Yuda Thadeus Ruwa'ichi, Benjamin Mkapa, Kikwete alipoumwa Tezi dume akiwa Rais na wengine wengi.
Rais Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume Marekani, hali yake inaendelea vyema
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alfajiri ya jana, Jumamosi, Novemba 8, 2014, alifanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani. Rais Kikwete amefanyiwa upasuaji huo baada ya...www.jamiiforums.com
Kama yu mzima wa afya tujulishwe ili roho zetu zitulie.
Ni haki yetu kujua Rais alipo na maendeleo yake sababu anaishi kwa kodi zetu na tulimchagua wenyewe ndio maana Televisheni ya Yaifa inamuonesha popote aendapo bure ili wananchi wajue anachofanya Rais wao.
Hata kama kapumzika Ikulu, hakuna sababu ya kuzua taharuki.
Tunajua Rais wetu anapenda mpira hasa timu ya Taifa, Jana timu yetu imeshinda na kufuzu Michuano ya CHAN, hatujaona anapongeza na kushangilia kama kawaida yake.
Hata Msemaji wa Ikulu hajatuma picha akiangalia mpira wa watoto wake kama kawaida yao.
Tunamtaka Rais wetu.
Asanteni sana
TUJIKUMBUSHE;
"Taifa Stars wameipa heshima nchi yetu. Leo nimeona mpira, sio ule wa siku za nyuma."- Rais Dkt Magufuli akifurahia Tanzania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika #AFCON2019
View attachment 1238150
Ujeremani kwa mabeberu kufanya nini? Kwanini wasingempeleka kwenye zahanati anazodai kujenga nchi nzima, akakutane na waganga ambao miaka 4 imepita bila nyongeza ya mshahara
Binafsi, sina habari yoyote inayo muhusu, lakini kwa kuwa hata waliotuletea hizi habari hawana uhakika, ndio nami nikasema tuwe na subira maana kana zina ukweli tutazipata tu hazitafichwa indefinitely.Wewe una uhakika na habari ipi? Anaumwa? haumwi? Lete habari yako acha kuibania basi
Sikujua waTanzania tumefikia hatua ya kufurahia kifo cha mtu kama taifa tuangalie wapi tulipojikwaa.
Hata kama unamchukia lakini tusifike kugombea na kifo au kufurahia kifo cha yoyote
Ujerumani atafika kweli? Au wanatimiza wajibu wajitoe lawama
afe tu,afe kabisa analigawanya sana taifa kwa kuua na kuteka watu, watanzania hatuna utamaduni huu,afe kabisa yeye ni nani asababishe watanzania tuishi kwa huzuni,afe tu
afe tu maana na yeye ameua wengi afe kabisa kufa kabisa magufuli
[emoji2211][emoji2211][emoji2211]?? View attachment 1238552
God is with our President!
We pray for him!
Huu uzi unakimbia kweli kweli