Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Nchi hii ina watu wa ajabu sana.
Na tatizo la vijana wetu wengi walipenda short cuts to successful,
Sasa alipokuja msimamizi ndio hii hali tunayoiona hapa.
Hao niliowaona pale twitter wengi wao ndio hao waliokuwa na vi NG'OS vyao.
Lakini zama zilipobadilika sasa ni sumu tupu.

Lakini awali ya yote msimamizi wa uhai wa binadamu ni MUNGU mwenyewe so usishangae ndani ya muda mfupi ujao hao washereshaji wakatangulia wao.
Ni akili ya kijinga xana kumfurahia umauti binadamu mwenzako.
Tena kwa sababu za kiwizi wizi tu.
Anyway yote tumuachie mola.
Eti alipokuja msimamizi! Nyie watu sijui mmerogwa na nani!!! Mambo yanaendeshwa nyuma ya pazia halafu mnataka kudanganya watu kwamba msimamizi! Si ni huyo huyo unayedai ni msimamizi ndie alitamka hadharani kwamba RC wake amesaidia watu kukwepa kodi?! Unaweza kumsaidia mtu kukwepa kodi hivi hivi?! Alimchukulia hatua gani baada ya kuthibitisha amehusika na ukwepaji kodi?! Kuna mengine mangapi aliyafanya ambayo wananchi hawayafahamu?!

Kadanganyaneni wenyewe kwa wenyewe! Hata Mkapa na yeye alipokuwa madarakani alikuwa anajifanya msafi kama JPM na kwavile hakuwa anaendesha mambo yake kwa uwazi, kila mwenye akili timamu anafahamu nini kilitokea baada ya Mkapa kutoka madarakani!

Zaidi ya 75% ya ufisadi unaozungumzwa nchi hii unatokana na yule yule aliyekuwa anajitangaza kwamba ni Mr. Clean na watu wakamuamini kwamba ni Mr. Clean kwa sababu hakuna aliyekuwa anafahamu nini kilikuwa kinaendelea nyuma ya pazia!
 
Hakika c jambo jema kufurahia,mwanadamu mwenzio akipatwa na baya lolote. Lakini cha kujiuliza,mbona yalipo mkuta Tundulisu kuna baadhi walishangilia na ha sa ccm? Mimi ni mkristo,cpendi kuona au kufutahia baya lolote kwa mwanadamu mwenzangu. Km ni kweli mkuu wa Kaya anaumwa,binafsi namuombea kwa Mungu apone haraka na kurudi ktk hali yake ya kawaida,aje aendeleze harakati za maendeleo. Lakini pia,km ana makandokando yake,ni wakati wa kurudi na kusukudu kwa muumba,na kikiri makosa nankiujisafisha,kisha kuanza upya. C ishara nzuri kwa mwanadamu mwenzio kufurahia kifo chako au shida yako
Ulishangilia au kuchukizwa na kitendo cha kumpiga risasi Tundu Lissu?
Tuanzie hapo mengine yafuate.
 
Heshima kwenu wakuu,

Kuna habari zinasambaa kwamba Rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza Ziara huko Kusini ili kushughulikia Masuala mengine ya Kitaifa. Hili sina tatizo nalo.

Kinachoniumiza na kunitatiza ni kuona Taasisi ya Rais akiwemo Msemaji Mkuu wa Ikulu na Msemaji wa Serikali kutokanusha au kuweka sawa habari hizi zinazosambaa na kuacha watu waendelee kumsema vibaya Rais wetu. Ukiacha uongo ukaendelea kuongelewa unageuka kuwa kweli.

Rais sio mali ya Ikulu bali ni mali ya Watanzania wote wa vyama vyote, dini zote, rangi zote na Makabila yote.

Msemaji wa Ikulu, Gerson Msigwa huwa ni mwepesi kukanusha na kutupa update za Rais. Ajitafakari kwa hili kama vipi ajiuzulu tu. Kazi imemshinda ya kuwatumikia Watanzania.

Tunapata wakati mgumu kuelewa.

Kama anaumwa sio jambo la kushtua pia kwani maradhi kwa binadamu ni kawaida, kama anaumwa ni haki wananchi wake wakajulishwa na maendeleo yake yakaelezwa kwa uwazi.

Tumefanya hivyo kwa Baba wa Taifa Nyerere, Askofu Mkuu Mwandamizi Yuda Thadeus Ruwa'ichi, Benjamin Mkapa, Kikwete alipoumwa Tezi dume akiwa Rais na wengine wengi.




Kama yu mzima wa afya tujulishwe ili roho zetu zitulie.

Ni haki yetu kujua Rais alipo na maendeleo yake sababu anaishi kwa kodi zetu na tulimchagua wenyewe ndio maana Televisheni ya Yaifa inamuonesha popote aendapo bure ili wananchi wajue anachofanya Rais wao.

Hata kama kapumzika Ikulu, hakuna sababu ya kuzua taharuki.

Tunajua Rais wetu anapenda mpira hasa timu ya Taifa, Jana timu yetu imeshinda na kufuzu Michuano ya CHAN, hatujaona anapongeza na kushangilia kama kawaida yake.

Hata Msemaji wa Ikulu hajatuma picha akiangalia mpira wa watoto wake kama kawaida yao.

Tunamtaka Rais wetu.

Asanteni sana

TUJIKUMBUSHE;

"Taifa Stars wameipa heshima nchi yetu. Leo nimeona mpira, sio ule wa siku za nyuma."- Rais Dkt Magufuli akifurahia Tanzania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika #AFCON2019
View attachment 1238150
Duh .... yuko safi tu. Mafisadi na majambazi wa nchi wasichekelee sana..
 
Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
Ujeremani kwa mabeberu kufanya nini? Kwanini wasingempeleka kwenye zahanati anazodai kujenga nchi nzima, akakutane na waganga ambao miaka 4 imepita bila nyongeza ya mshahara
 
Wewe una uhakika na habari ipi? Anaumwa? haumwi? Lete habari yako acha kuibania basi
Binafsi, sina habari yoyote inayo muhusu, lakini kwa kuwa hata waliotuletea hizi habari hawana uhakika, ndio nami nikasema tuwe na subira maana kana zina ukweli tutazipata tu hazitafichwa indefinitely.
Hata ugonjwa wa Mugabe walificha lakini finally ilibidi waweke wazi.
Subira ni muhimu kwenye kila jambo, haitasaidia kushangilia mashambulizi. Subirini mshangilie magoli.
 
Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
Sikujua waTanzania tumefikia hatua ya kufurahia kifo cha mtu kama taifa tuangalie wapi tulipojikwaa.

Hata kama unamchukia lakini tusifike kugombea na kifo au kufurahia kifo cha yoyote
 
Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike.
afe tu,afe kabisa analigawanya sana taifa kwa kuua na kuteka watu, watanzania hatuna utamaduni huu,afe kabisa yeye ni nani asababishe watanzania tuishi kwa huzuni,afe tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom