Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Sikutegemea kabisa mtu kama Zitto kushabikia vitu kama hivi. Kweli mtu anayefikiria hata kuwa Rais! Enzi zile kuna vitu tuliona labda ni ujana/utoto lakini sasa anazidi kututia shaka wengine.
Msomi wa leo anayeamini anaweza kumaliza ukoo mzima wa adui zake kichawi hata panya wasibaki unategemea ashabikie vitu gani!
 
Huyo jamaa anamaanisha mukulu yupo taabani kwa kuumwa ndio maana amedai bado izrael amalize kazi ili mama akamate usukani, huu ni uchuro kwa mukulu aache hayo mambo
Kuna watu walishukikia bango suala la kwamba Magufuli atawale zaidi ya miaka 10.

Nikawaukiza mnajua atakuwepo miaka yote hiyo?

Mna uhakika gani atakuwa hai?
 
Kuna watu walishukikia bango suala la kwamba Magufuli atawale zaidi ya miaka 10.

Nikawaukiza mnajua atakuwepo miaka yote hiyo?

Mna uhakika gani atakuwa hai?
Mhuuuuum.Na yene.Yupo hai anadunda tu.
 
He will be well ondoa shaka....

Ila.... Ndo aone watu wanavyomchukia only few people we are praying for him
Nimependa approach yako ,pamoja na madhaifu yake si vyema kumchukia mkuu wa nchi,ila sasa ni vyema atambue wanaompenda huwa wachache ila bado kwa ushauri mzuri aweza rejesha jina lake kileleni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom