ukabila tayari hapo..... mtu ni mtu hata kama siyo kabila lako. Nambie ya Lisu na Ben ulifurahi?particulary msukuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukabila tayari hapo..... mtu ni mtu hata kama siyo kabila lako. Nambie ya Lisu na Ben ulifurahi?particulary msukuma
Zitto kafa nyaje mkuu, nimepita kwenye ukurasa wake twitter sikuona cha ajabuSikutegemea kabisa mtu kama Zitto kushabikia vitu kama hivi. Kweli mtu anayefikiria hata kuwa Rais! Enzi zile kuna vitu tuliona labda ni ujana/utoto lakini sasa anazidi kututia shaka wengine.
Anakurupuka tu huyo.Utamtafuta nani wewe?
Endelea kutumikia huko nje ya nchi
Tuache wazalendo wataifa hili
Kafanya vizuri kutuambia Rais wetu anaendelea vizuri
sijawahi kuwa mchaga, na kweli wengi humu wanadhani mimi ni mchaga kwa vile naside na CDM katika kutetea haki....Shimboni.
Sikufurahi.ukabila tayari hapo..... mtu ni mtu hata kama siyo kabila lako. Nambie ya Lisu na Ben ulifurahi?
Ok sawa mtani.sijawahi kuwa mchaga, na kweli wengi humu wanadhani mimi ni mchaga kwa vile naside na CDM katika kutetea haki....
mtani wangu ni mjita, mkurya ...Ok sawa mtani.
EHEEEE SIELEWI KINACHOENDELEA NGOJA NINYAMAZE KIMYA LABDA NITAELEWA BAADAE
Msomi wa leo anayeamini anaweza kumaliza ukoo mzima wa adui zake kichawi hata panya wasibaki unategemea ashabikie vitu gani!Sikutegemea kabisa mtu kama Zitto kushabikia vitu kama hivi. Kweli mtu anayefikiria hata kuwa Rais! Enzi zile kuna vitu tuliona labda ni ujana/utoto lakini sasa anazidi kututia shaka wengine.
Una kauli mbovu sana wwYapi?
Asante.Una kauli mbovu sana ww
Chadema ni wachaga?!!sijawahi kuwa mchaga, na kweli wengi humu wanadhani mimi ni mchaga kwa vile naside na CDM katika kutetea haki....
Kuna watu walishukikia bango suala la kwamba Magufuli atawale zaidi ya miaka 10.Huyo jamaa anamaanisha mukulu yupo taabani kwa kuumwa ndio maana amedai bado izrael amalize kazi ili mama akamate usukani, huu ni uchuro kwa mukulu aache hayo mambo
Bhasibota.mtani wangu ni mjita, mkurya ...
Mhuuuuum.Na yene.Yupo hai anadunda tu.Kuna watu walishukikia bango suala la kwamba Magufuli atawale zaidi ya miaka 10.
Nikawaukiza mnajua atakuwepo miaka yote hiyo?
Mna uhakika gani atakuwa hai?
Mimi sio TISS .Ku- interact na TISS mitandaoni, huwezi jua ya kesho 😁 😁 😁 😁 😁
Hakuna kitu kama hicho. Mtasubiri sana.
Nimependa approach yako ,pamoja na madhaifu yake si vyema kumchukia mkuu wa nchi,ila sasa ni vyema atambue wanaompenda huwa wachache ila bado kwa ushauri mzuri aweza rejesha jina lake kileleni.He will be well ondoa shaka....
Ila.... Ndo aone watu wanavyomchukia only few people we are praying for him