yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Sielewi kinachoongelewa hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan kuna uvumi gani kumuhusu Rais ?Ni jambo jema wakatolea taarifa. Huu uvumi unanifanya nikose raha kabisa. Yaani hata sielewi kwa nini.
Huku sio Nigeria mzee baba..Nigeria kuna separation kubwa baina ya raia ndani ya nchi sio wamoja wale na kuna watu hawamtambui Buhari kama ni raisi wao..ila sisi tumejengwa kwa misingi ya umoja na mshikamano bila kujali tofauti zetu za kidini na kikabila tuna haki ya kujua alipo raia namba moja ambaye bila yeye hakuna sisi maana tunamtegemea alisongeshe gurudumuKwani mpaka sasa hajaonekana hadharani kwa miezi mingapi
Akionekana kila siku shida asipoonekana shida.Mbona kule Nigeria buhari anaweza kukaa hata miezi 3 bila kujulikana aliko
Ha ha haaaKwani mpaka sasa hajaonekana hadharani kwa miezi mingapi
Akionekana kila siku shida asipoonekana shida.Mbona kule Nigeria buhari anaweza kukaa hata miezi 3 bila kujulikana aliko
Kuna mashangazi wa Lindi walitorokea huko nini kaenda kimya kimya kywachapa?Nasikia yuko ujeremeni
Ha ha haaa.Si mlikuwa mnamtukana kuwa kila siku anataka aonekane yeye tu kwenye tv? Juzi tu hapa alikuwa huko lindi kwenye ziara live tbc mkasema hamuangalii, leo mnamtaka mumuone?
Alikuwa kwenye kampeni nyanda za korosho yapaswa tbccm watujuzeHeshima kwenu wakuu,
Kuna habari zinasambaa kwamba rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza Ziara ili kushughulikia Maswala mengine ya Kitaifa. Hili sina tatizo nalo.
Kinacho niumiza ni kuona Taasisi ya rais akiwemo Msemaji mkuu wa Ikulu na Msemaji wa Serikali kutokanusha au kuweka sawa habari hizi zinazo sambaa.
Ukiacha uongo ukaendelea kuongelewa unageuka kuwa kweli
Rais sio mali ya Ikulu bali ni Mali ya Watanzania wote.
Msemaji wa Ikulu Gerson Msigwa huwa ni mwepesi kukanusha na kutupa update za rais.
Tunapata wakati mgumu kuelewa.
Maradhi kwa binadamu ni kawaida, kama anaumwa ni haki wananchi wake wakajulishwa na maendeleo yake yakaelezwa kwa uwazi.
Tumefanya hivyo kwa Baba wa Taifa Nyerere, skofu Mkuu Mwandamizi Yuda Thaddeus Ruwa'ichi, Benjamin Mkapa na wengine wengi.
Kama yu mzima wa afya tujulishwe ili roho zetu zitulie.
Ni haki yetu kujua rais alipo na maendeleo yake sababu anaishi kwa kodi zetu na tulimchagua wenyewe. Ndo maana Televisheni ya Yaifa inamuonesha popote aendapo bure ili wananchi wajue anachofanya rais wao.
Hata kama kapumzika Ikulu, hakuna sababu ya kuzua taharuki.
Tunajua rais wetu anapenda mpira hasa timu ya Taifa, Janana timu yetu imeshinda hatunaona anapongeza na kushangilia kama kawaida yake.
Hata Msemaji wa Ikulu hajatuma picha akiangalia mpira wa watoto wake kama kawaida yao.
Tunamtaka rais wetu.
Asanteni sana