Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Tunakoelekea ni pazuri mno. Rais wetu anasimamia vyema mapato yatokanayo na rasilimali zetu. Waliozoea kujinufaisha nazo hawana furaha kabisa

Lakini mkuu, 'waliozoea kujinufaisha nazo' ndio hao hao CCM ati! Akina Kikwete, mkapa na mafisadi wengine ndani ya mfumo!

Au nakosea!?

Sina uhakika kama wote wameshughulikiwa! Wengine tunaona anakunywa nao chai kwa bashasha!
 
.
IMG_20191019_200422.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom