Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
!
!
Wengine Sio Mafisadi Mbona? Mfano Mimi
!
Wengine Sio Mafisadi Mbona? Mfano Mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Huyu malkia yupo JF hii..[emoji1732][emoji1732][emoji1732]Off topic.....Vyakula vya misibani sijui kwanini huwa vina ladha..pilau la msibani jamani ni tamu kweli kweli!
Bdw nimemis tu pilau..
Kigogo ni le mutuzZitto ndiye Kigogo na Kigogo ndiyo Zitto mkuu !!
Angalia ! Usije ukatangulia weweOff topic.....Vyakula vya misibani sijui kwanini huwa vina ladha..pilau la msibani jamani ni tamu kweli kweli!
Bdw nimemis tu pilau..
Jiwe chali aisee!
Am glad u back mkuuOff topic.....Vyakula vya misibani sijui kwanini huwa vina ladha..pilau la msibani jamani ni tamu kweli kweli!
Bdw nimemis tu pilau..
Wala sina hofuAngalia ! Usije ukatangulia wewe
Huko kwa malaika!Akuteue kanafasi kokote!
Leo nahisi kuna furaha nitaipata kabla sijalala
Kumbe Huyu malkia yupo JF hii..[emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Aibu yao akina Kigogo, Zitto Kabwe, Lema nilioona wanaandika ujinga.
Tunakoelekea ni pazuri mno. Rais wetu anasimamia vyema mapato yatokanayo na rasilimali zetu. Waliozoea kujinufaisha nazo hawana furaha kabisa
Aminini barua ya Msigwa hizi ni propaganda tu