DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
You can call me thatAre you a spokesman of Tanzanians?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You can call me thatAre you a spokesman of Tanzanians?
Nitag jibBinafsi sijakuelewa kwa oga kwata kwata ndio wapi
Yesu na mahirizi kiunoni wapi na wapi?Get well soon hon.jpm. Mungu mpe maisha marefu rais wetu moendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa jina la yesu,amen
Tujuzane mkuu,sisi tusiojua mafumboSitaki niongee sana, ila kwa harufu niliyoinusa hivi punde kuna jambo limefichwa,
Muda utaongea
Hapo ni show room ?? Au HAWAPO ????
Mara paap, unapaliwa na hiyo champagne then you call it a day. "If wishes were horses"..Niko na Champaign hapa. Tuungane kwenye karamu hii pambee
Tusije tu kuikimbia hii postKigogo kawalaza Nyumbu mlango wazi
Ngoja wajeNi kama vile tumeshaingia ukumbini na tunasubiri director aanze kutuonesha senema ya kuogofya sana...
Kila mtu yuko kimya ukumbini... Hofu na sintofahamu vikiwa vimetanda... Senema haiji... Wana propaganda na wazee wa kurekebisha wako kazini kuhakikisha wapenzi watazamaji hawataruki senema ya kutisha sana itakapoanza..
Wapiga mayowe hayaa
Wapaparikaji haya
Washangiliaji hayaa
Wapiga vifijo nderemo na mahamham wote hayaa
Wapiga kwikwikwi wote mule mule
Director tuna hamu ya kuona muvi... Usitudubirishe sana
Naelekea kwa mama muuzaView attachment 1238660
Off topic.....Vyakula vya misibani sijui kwanini huwa vina ladha..pilau la msibani jamani ni tamu kweli kweli!
Bdw nimemis tu pilau..