Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ni ukweli tu...tetesi hazipuuzwi.... Na sio mambo ya Roho ya kufurahia tetesi...wake up stand up...bi dadaTunahitaji watu wenye mioyo ya aina hii.
Hata mimi siafikiani nae baadhi ya mambo lakini sijahitimu bado kuwa na roho ya kufurahia tetesi.
Chuki, roho mbaya na husda zinamuumiza zaidi anaeamua kuzikumbatia.
Mungu Ibariki Tanzania, Wabariki viongozi wake wote!
Je kama haumwi?4. Sasa huyu anaumwa kweli au uzushi tu wa kigogo 2014 na zitto Kabwe? Kama anaumwa si atangazwe tu kama wezake kwani shida ipo wapi?
Wamekosea sio yeye ni ma Sulu
Make Tanzania Great @onimpeachment president!Nadhani imekopiwa kwa huyo mselaa!Eti MATAGA ndio nini au nani?
nimeona tbc wamesema mgeni rasmi Samia. Na mwenyekiti au rais wa mkutano mahiga
Huwa kuna utaratibu wa kuweka mambo sawa hasa nyakati zenye walakini. Key players huwa wana act normal mbele za kamera,behind the scene mchakato unaendelea.
Hakuna kitu kibaya, kalale usijichoshe.Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
mbona ni bendera tu ?Nini hiki yarabi
Mbona uzinduzi wa miradi wanatangaza kwanini hili liwe gumu kutangazwa.
Njia ile ni nyembamba iendayo uzimani
Sura zipi kufichwa? Kwani hajui kuwa anawatesa wapinzani na humu ndipo sehemu ya kutolea kero zoteSijui mtaficha wapi sura zenu jmn
Magufuli mwenyewe fisadi.Nawashangaa sana hao akili ndogo...