Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du yuko kwenye job interview ya kuwa kiongozi wa Malaikanimeshaaamka na magufuli wako hajaamka amekufaaaa it's confirmed,ameshakata moto kwa taarifa yako
SaahiiiNi kama vile tumeshaingia ukumbini na tunasubiri director aanze kutuonesha senema ya kuogofya sana...
Kila mtu yuko kimya ukumbini... Hofu na sintofahamu vikiwa vimetanda... Senema haiji... Wana propaganda na wazee wa kurekebisha wako kazini kuhakikisha wapenzi watazamaji hawataruki senema ya kutisha sana itakapoanza..
Wapiga mayowe hayaa
Wapaparikaji haya
Washangiliaji hayaa
Wapiga vifijo nderemo na mahamham wote hayaa
Wapiga kwikwikwi wote mule mule
Director tuna hamu ya kuona muvi... Usitusubirishe sana
Naelekea kwa mama muuzaView attachment 1238660
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha haa haaa
Hizi siku chache watu wenye roho mbaya na chuki iliopitiliza wanajidhihirisha
kama unajua sifa ya mtu kufa kwanini unateseka?Acha uchuro we mganga.
Kwani nani hataugua maisha yale yote?
Kwani nani ataishi milele na hatakufa?
Jina lake sasa linaanza na prefix Marehemutundu lissu na ben saa nane pia walikuwa na familia zao,to cut the long story short it's confirmed tayari ameshakufa
Wewe ni mbwa tu hata kama unakunywa chaiBora Izraeli ampitie tu
Plus na wale wachawi wa Gambus, waliotoa onyo kwa yeyote atakayechukua fomu ya kugombea Urais mwaka 2020, wakitoa onyo kuwa watampoteza!
maneno ya huseni basheSote tumezaliwa wajinga, tunahitaji bidii kidogo ili kuwa na maarifa, au bidii kubwa sana ili kuendelea kubaki wapumbavu. Baadhi huchagua njia ya pili.” *Benjamin_Franklin* Tuacheni petty politics zinazoongwa na Taarifa za Ramli na kuombea tusiowapenda Mabaya
police wanasema dereva ndo amekwamisha ushahidiKwani yeye ni mtu. Alishakuwa mnyama siku nyingi sana.View attachment 1238843
mtu mmoja akifa taifa linafanyaje alipotea Ben na Azroy itakuwa mtu mwingne tena mmoja tuMwenyezi Mungu naomba uliponye Taifa letu la Tanzania hasa Tanganyika.
Unaamini yule ni Bashe kweli,ile itakua ni mtu mwingine kabisa kaamua kujiita hivyo,fake idKwahiyo bashe yupo kwenye hili kundi??? Nimemuona twita huko anabweka balaaa
Aisee, tupo wengi.Nipo kipembeni na mm sibanduki
ameshakufa, amechafua sana historia yetu,kikwete,mwinyi,mkapa hawakuwahi kufanya hivi
Wewe hii thread umeielewa mpenzi?Sweetie kuna nini?