Idiot Embicile
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 1,037
- 1,974
Any breaking news...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashindwa kuelewa kwanini msemaji yupo kimya mpaka saa hizi, akanushe jamani
Hapa ondoka dogoAmekufa lini?
Kwanini unamuita mbweha?
Yeeewooomiii!Aah Big Sir amechomoa battery jana
Yeye nani huyo?hayo maneno ungemwambia yeye,yeye ndo alijudge Tundu Lissu auawe
Mkuu umesahau kauli za msukuma, Musiba na kibajaji kipindi Lissu kapigwa risasi?mara nyingi nakuaga pande wa upinzani. Lakini hata kama humpedi Magufuli kiasi gani huwezi ukachekelea kuumwa kwake hadharani. Hata kama moyoni kwako unataka iwe hivyo, sio kitu smart kuonyesha hisia hizo kwa umma, ni kosa moja kubwa sana kisiasa.
Ndio maana hata Tundu Lissu alipopigwa risasi Magufuli alitweet kumpa pole, japo naamini serikali yake inahusika, lakini alifanya kinachotakiwa kufanywa na mwanasiasa. Hutakiwi kushangilia ugonjwa wala kifo cha mpinzani wako hadharani.
Walichonishangaza zaidi hawa Wapinzani walikuwa wakichekelea wakati hata mtu mwenyewe haijulikani kama ana afya kweli ama mgonjwa, sasa ukishangilia halafu mtu akajitokeza mzima kabisa utajificha wapi?
Najua ni viongozi wachache wa Upinzani wamefanya hivi, lakini wapinzani wanapaswa kufundishana namna ya ku behave mbele ya public, samaki mmoja akioza watatangaza mmeoza wote, wanaangaliwa na watu wengi, na kila wanachoandika watu wanaki judge.
Hapa wanawafanya CCM kama akina Musiba hivi kuaminika zaidi kuwa Wapinzani wapo kwa ajili ya kumduru magufuli na wanashirikiana na mabeberu kufanya hivyo, yaani wanajipiga risasi ya mguuni kama sio kichwani kabisa.
Wamenisikitisha sana
Any breaking news...
Mungu akimrehemu nafasi nyingine ya Kuishi Asisite Kuuchukua ushauri wangu maana Hatopoteza Chochote akifuata Niliyoyasema Humo.ameshachelewa sanaaaa, ameshakata moto
ameshakufa it's confirmed
Mkuu umeconfirm source gani??ameshakufa it's confirmed
Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
Wapinzani kwenu ni wadudu ndio maana mnawaua kama wadudu, hata yaliyompata Lissu mlifurahi kwakua mlimuona ni mdudu.
Taarifa umezitoa wapi mkuu?ameshakufa it's confirmed
nafasi ya kiongozi wa malaika ni kubwa kuliko urais wa nchi masikini kama TanzaniaMungu akimrehemu nafasi nyingine ya Kuishi Asisite Kuuchukua ushauri wangu maana Hatopoteza Chochote akifuata Niliyoyasema Humo.