Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Anaendelea vizuri. Kama mnavyojua sio rahisi kuescape heart attack. Mungu ni mwema. Kama mnavyojua tena ukisurvive inatake time kurecover. Still recovering. Maadui watafute bazoka wajinyonge tu sasa.
leta habari mpenzi wangu!
 
Ghafta nimeikumbuka ile sauti iliyosikika ikisema "acha kiherehere wewe mama"
Kuna mzee mmoja namheshimu sana anasema dalili za awali za mtu kuugua ule ugonjwa wa kupelekwa Dodoma ni eitha kuwa mpole kupita kiasi na kujitenga au MTU kuwa mkali sana na kutukana hadharani au hata jukwaani msivyotegemea.
Sasa kikipanda ni kumtia kamba na kumpa madawa wakati mwingine ya kulala usingizi siku mbili nzima.
Huyu mzee anasema MTU huyo akizinduka basi atajulikana apelekwe Dodoma au atangazwe "huyu sasa basi dish limecheza"
Mimi nilimuelewa wewe jee?
 
Utaabika muda si mrefu.
Although the terms are often used interchangeably, cardiac arrest is different and medically distinct from a heart attack. A heart attack occurs when blood flow to an area of the heart is blocked by a narrowed or completely obstructed coronary artery, resulting in damage of heart muscle. Heart attack symptoms may include pain, dizziness, and shortness of breath, among others. Cardiac arrest results from a disturbance in the electrical activity of the heart that causes it to stop beating. The electrical disturbance can occur suddenly due to a heart attack, severe imbalance of electrolytes, or an inherited genetic mutation that predisposes to electric abnormalities. Symptoms include an almost instantaneous loss of consciousness. The treatment goal for a cardiac arrest is to facilitate the return of circulation and restore the electric rhythm, while for a heart attack, it is to reopen blocked arteries and restore blood flow.
 
Nitashukuru sana endapo jamii forum watachukuliwa kwa kuruhu taarifa za uzushi kuendelea kuwaumiza watu,kiukweli taarifa hii imeniumiza sana na tena hali yangu kwa sasa inaelekea kupandisha presha ,get well soon Mr president

Ukiacha watu watapike utaokota mazuri na mabaya humohumo

Tujifunze kusiliza sio kusikilizwa tu
 
Rais wa Tanzania ni wa chama tawala na wapinzani hawatakiwi kumsogelea kwa shida zao ninaamini unalijua hilo kwani huwa tunalishuhudia kwenye uendeshaji wa nchi kila siku kuanzia majimbo yenye vihererehere vya kuchagua wabunge wa upinzani mpaka halingumu ya haki yao ya kushiriki kwenye siasa.
Uandikapo jambo andika kulingana na matakwa ya watawala na si yako.
 
Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike,get well soon Mr president, we need you more
Mungu atakuwa amesikia maombi yake,alishaomba kuteuliwa awe kiongozi wa malaika,please kama amepewa promotion basi tumpongeze na si kumuomba Mungu amrudishe kuwa rais wa taifa masikini kama Tanzania,please note; kiongozi wa malaika ni mkubwa kuliko rais wa nchi,ni sifa kwa Tanzania kutoa binadamu wa kwanza kuwa kiongozi wa maaika
 
Nitashukuru sana endapo jamii forum watachukuliwa kwa kuruhu taarifa za uzushi kuendelea kuwaumiza watu,kiukweli taarifa hii imeniumiza sana na tena hali yangu kwa sasa inaelekea kupandisha presha ,get well soon Mr president

Wewe badala ya kuwatakia watanzania walio wagonjwa mahospitalini wapone haraka unahangaika na ibilisi mkuu wa ma ibilisi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom