Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kuna whatsapp zinasambaa zinasema kuwa, habari za JPM kuwa amefariki si za kweli bali alipata heart attack na amekimbizwa Dar na helicopter ya jeshi then Afrika Kusini then Germany...

Huo ujumbe unaonesha umetoka kwa Vicky Emmanuel Nchimbi, sifahamu ukweli wake na unaambatana na ujumbe wa kigogo unaosema "wanangoja nini kumpa kimeo mama Samia"?

Sina uwezo wa kuapandisha hapa.

Na mwingine unasema...

There have been reports of men suffering heart attacks or chest pain after taking the popular drug V.
Qoute frm doctor
"Heart attack survival rate is only 06% km ikimpata mtu nje ya hospital"
 
Kama mnasubiri avute basi naomba kuwa taarifu Milango yakuzimu kamwe haitomuweza Rais wa jamuhuri Ya muungano wa Tanzania.

Atatikiswa ila hawawezi kuigusa roho yake. Nikweli nimkali ila ni kiongoz shupavu alie na maono ya kweli kwa taifa letu.
Chuki na hasira sio za wananchi ila kundi lawapumbavu na n vilaza fulani. Ndugu zangu kama vile jina lilivyopita ndivyo usalama wake utakuwa naye. Wanyonge wengi sana wamepata haki zao utawala huu na sishangai chuki hii nikwa kaz nzuri anafanya.

Rais amkuwa na ratiba ambayo sio yakawaida nauwenda imemchosha. Kiufupi uwenda sasa atafuwata ratiba nakupunguza kazi. Pia ningeshauri wafanyakaz wa Ikulu wampeleke watoto acheze nao huwa ni wazuri sana kupunguza stress.

Naiman baada ya mapumziko rais wetu atarud kulitumikia taifa lake.
Mungu ibariki tanzania na watu wake na Viongoz wake. Amen

Umeshamlaani tayari kama hujui. Ni YESU KRISTO WA NAZARETH pekee mwenye sifa hiyo ya kushinda mauti na kuzimu.
 
Acheni kupotosha watu tulikuwa tunafuwatilia msafara mwanzo mwisho.

Shida ilianza Masasi na sina uwakika kama watu wanao angalia afya ya Rais waliona lile tukio sisi tulio kuwa mbali tuliona kabisa baada ya pale msafara uliondoka na kwenda kijijifulan baadae ukarud ila Rais aliondoka ktk njia ambayo mpaka sasa no one know wala siwezi kuandika hapa as nimfuwasi wa kuto toa kila siri.

Usiku ule ambao nyie mnauliza yupo wapi Taifa lilikuwa kazini na nina dhani hakuna alie lala.

Ila Taifa letu lina tunu yaaman na upendo huwez amini watu walikuwa wamoja kuliko hii mambo ya mtandao kiukweli natamani kulia ila Wazee wetu amabo ni top secret number one wanampenda sana kijana wao kiukweli sina uwakika kama kuna chama kina unity kama ccm.

Nataman kulia ila navipongeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama na top secret ya Rais kiukweli hawa ni mashujaa shime serikali yangu na taifa langu.

Tuache upotoshaji... Japo from now Rais atapunguza Ratiba za kaz nyingi nakupata muda wakupata mapumziko. Pia kam mnkumbuka anamualiko wa German kamamnakumbuka sim ya Angel kwa Rais..
Taarifa zinaweza kutoka kidogo kidogo asante sasa tumejua anaumwa
 
Kadri tetesi zinavozidi kuenezwa na radio mbao Ni wazi kuwa huko tuendako ulinzi wa anayeitwa Rais wa nchi utaimairishwa ajabu...

Ndiyo... Juhudi kubwa zitaongezwa kuimarisha ulinzi wa huyo Rais - karibu yake, around him, katikati ya kadamnasi. Juu na angani.... Wanaoonekana na wasioonekana.... Wanaojulikana na Wasiojulikana..
Like we never experienced before...

Na hatua hiyo itathibitisha kuwa tetesi zile za radio mbao zilikuwa zaidi ya tetesi..!

#FuturePost

Ulinzi wa mabunduki na magari ndio yatazuia uchawi kuingia?

Y’all niggas be serious at times!
 
Ni siku ya tatu leo kumekuwa na taarifa zinazotolewa na baadhi ya watuamiaji wa mitandao ya kijamii kuhusu afya ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania alipokuwa ktk ziara mikoa ya kusini.

Na wengine kufika mbali kabisa kwa kuzusha kabisa taarifa za kifo kitu ambacho baadhi ya wapinzani wa kasi ya awamu ya tano wamekuwa wakifurahi na kushangilia katika mitandao na kuleta taharuki majumbani na mitaani kiasi watu wengi kuuliza Nini kinaendelea.

Taarifa hizi zimekuwa zikitolewa na watz ndani na nje ya nchi wakati Ikulu haijatoa taarifa yoyote kuhusu kuwa Rais ni mgonjwa.

Nadhani tuna sheria na kanuni kuhusu kutoa taarifa hasa zinazohusu usalama wa nchi Sasa hawa wanaotoa taarifa za kuzusha tu toka katika chanzo ambacho hakijulikani na kuleta taharuki wanatakiwa kufanywa Nini na mamlaka husika kisheria.

Nadhani mamlaka husika Kuna haja ya kutoa mtu mmoja kama mfano ili liwe fundisho kwa wengine wenye nia kama hii.

Ukisoma mitandao ya kijamii ndiyo utajua Nini kinasambazwa na kuleta maneno chini kwa chini na taharuki mpaka makanisani watumishi wameanza maombi ya kukemea kinachoendelea.

Kama huna taarifa acha kuzusha taarifa na kama una taarifa sahihi basi jitoe muhanga kwa kutoa taarifa kamili inayoeleweka sio kutoa taarifa za kuwachanganya watz.

Watz wengi wanaelewa sana nia mbaya za watu kwa serikali hi na kama ndiyo kutafuta mtaji wa kura ktk uchaguzi wa November basi hapo mmepata zero kabisa.

Watu wa Cyber happy mna kazi ya kufanya kuondoa uchafu kama huu katika nchi yetu.

Ni muhimu kuwa na taarifa za kweli kuliko uzushi.....tena wakome wote wenye nia mbovu na Serikali.

Funga 20mil people using internet in TZ!

Y’all niggas are dying with heart attacks!

Na bado!
 
Hii imedhihirisha kuwa Raisi John Joseph Pombe Magufuli ni kipenzi cha watanzania yeye anawapenda na wao wanampenda baada ya Raisi wa watanzania kujichimbia ikulu kama kawaida yake,
Watanzania wameanza kuwa na hamu naye wanahisi kukosa kusikia sauti ni kama kupoteza ala nzuri masikioni mwao,
Ni hakika 2020 Magufuli atachukua nchi kweupe saa asubuhi kwa mahaba wanayoyaonyesha!

Magufuli habagui watu kwa vyama wala dini wote anawapa maendeleo!

Na ni Watanzania wengi wanaosubiri kuimba parapanda....
 
Ukiwa kiongozi wa Upinzani ambaye unataka support ya watu, public inatakiwa ikuone wewe una busara kuliko hao unawowapinga.
Ndio Serikali ilichokifanya kwa Lissu hakikuwa sawa hata kidogo, lakini public ilikuwa upande wa Tundu Lissu.
Sasa ukishangilia mambo kama haya unalipiza kisasi, lakini mbele ya public unaonekanaje?
Ndio unawapa credibility madai ya CCM kuwa nyie mnataka kumuua rais kwa kushirikiana na mabeberu, watu wataamini hayo
Mbona unashindwa kuona ishu kama hii?

Kwa bahati mbaya hakuna mjinga wa kuamini hizo propaganda za kitoto, eti wapinzani wanashirikiana na mabeberu kutekeleza huo ujinga. Na kama kuna mwananchi anayeamini hizo propaganda mfu, abaki huko huko kwenye giza hatumlazimishi kutoka huko gizani. Napenda ufahamu wananchi wengi wa sasa wameshamka na walishatoka kwenye hizo porojo za mabeberu, nadhani kiongozi wetu wa sasa na timu yake ni watu wanaoishi kwa mitazamo ya karne iliyopita, ndio maana hata propaganda zao ni hizo outdated.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom