Tetesi: Watanzania tukatae Uwanja wa KIA kupewa Oman

ndugu zako walipewa wakaua kila kitu, uwanja umekua kama wa kufugia mbuzi. Acheni wenye ujuzi na nia ya kufanya biashara wafanye kazi yao ili muone matunda ya uwekezaji.
 
Na hawa wazungu tena wenye uzoefu na mambo ya uwanja wa ndege ila muarabu ndio ame takeover
 

Attachments

  • Screenshot_20240115-124653_Chrome.jpg
    147.4 KB · Views: 4

Yani kuna watu chuki zimejaa vifuani mwao dhidi ya waarabu, ni upumbavu tu.
 
Kama mwarabu keshapewa loliondo na ngorongoro, ili aweze kupitisha wanyamapori hai kwa ajili ya ibada ya kuchinja lazima apewe kiwanja cha ndege na bandari......yaani watanganyika tumekubali kuburuzwa na wazanzibari, inasikitisha sana.​
 
Umeona transaction ya mauzo?
 
ndugu zako walipewa wakaua kila kitu, uwanja umekua kama wa kufugia mbuzi. Acheni wenye ujuzi na nia ya kufanya biashara wafanye kazi yao ili muone matunda ya uwekezaji.
Sasa TAA wanashindwa nn ? Hawa jamaa nawalaumu kwamb TAA na TCAA hawawezi kuset standard za kimataifa kuendesha uwanja mkubwa kama wa Kilimanjaro? Au wazee wa elimu za kuokota.
 
With respect sir
unless you have other reasons don't under estimate oman running airports
may be you need this from Canadian news
YVR and Canadian airports rank in bottom third of global airports list
also Japanese
 
Kwanza tudai Katiba mpya !
Umesahau Dipiwedi ??
Hata ukikataa na wenzako bado itakuwa kazi bure tu !
Katiba mpya bora kwanza !!
 
hebu tuache uongo,hizo hanari za ndani kitoka kwa nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…