Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
- Thread starter
-
- #81
Badili dynasty mkuu, katembeze rungu ulaya tutoa laana za familia na umaskiniBongo kuna Watoto wazuri aisee naachaje? Kama mshahara huu huu unatosha lakini mtaani tunavimba...
.Hahaha
We jamaa acha dharauUnajua maana ya fully funded scholarship?
Anapata milion mbili na Lak 3 Kwa mwezi za matumiz halipi Kodi, halipi huduma ya afya na usafiri anapewa na stationary anapewa anaomba Hela Kwa mzaz Gani? Au unazan Hilo ni boom la heslb?
Yani niache kupambana nje nihangaike na laki 8 ya bongo ambayo haitoshi hata kujenga nyumba ya dongo bila mikopo
Hivi Kuna mwalimu anaweza nunua hata baiskel bila mkopo?
Hii nayo ni pointiWewe unaona scholarship ndio maisha? Kuna mambo mengi ya kufnya sio lazima kusoma sana halafu huhui ukimaliza kusoma utafanya nini.
Mkuu naenda kubeba box ulaya, USA au arabiaWewe unaona scholarship ndio maisha? Kuna mambo mengi ya kufnya sio lazima kusoma sana halafu huhui ukimaliza kusoma utafanya nini.
Kwann urud Tanzania Yan alosoma nje ya afrika halaf akarudi kugombania kazi za Tanzania hana tofauti na chizi wa milembeUnaweza ukarudi huku degree yako haitambuliki
India hakuna jipya unaweza ukawa admitted na chuo cha mchongo ukaja huku, umepoteza muda tuMkuu umesoma Uzi au unakuja kutukana
Hata kungekua na slum nchi yote hatuna Cha kujifananisha na India sisi Tanzania, half nimesema akimaliza ni rahisi kwake kwenda ulaya, Amerika au uarabuni sjasema abak india
INdia ni nchi yenye elimu Bora kuliko popote AfricaIndia sio sehemu ya kwenda kusoma, narudia INDIA SIO SEHEMU YA KWENDA KUSOMA
Hayo ni mawazo ya watanzania pekee tu, hakuna scholarship isiyopitia ubalozin, na hicho chuo Cha mchongo unamaanisha kama TEKU au?India hakuna jipya unaweza ukawa admitted na chuo cha mchongo ukaja huku, umepoteza muda tu
Umesoma andiko lakn?Unafikiri reality iliyopo ground ni nyepesi?
Wahindi wenyewe wanapambana kupakimbia India.
Halafu ukienda kwa viza ya masomo, usifikiri ni rahisi kufanya kazi na kupata kazi.
India haina tofauti na Afrika.
Si ndiyo hapo?Hahaha.....anajaribu kutufungua akili.
Unaendaje kusoma Nje Ulaya huko lets say miaka 5 hadi 6 then unaruudi kugobania kazi za halmashauri? Utakuwa hujielewi
Sasa kwanini TCU wanataka ukirudi upeleke vyeti vithibitishwe , unaweza ukarudi na master’s yako ukaambiwa kwa level ya hicho chuo ni diploma hukuHayo ni mawazo ya watanzania pekee tu, hakuna scholarship isiyopitia ubalozin, na hicho chuo Cha mchongo unamaanisha kama TEKU au?
Sasa si uombe ukasomee huko Mbona unataka kumpangia mwenzio wapi akasomeINdia ni nchi yenye elimu Bora kuliko popote Africa
Mkuu hakuna dharau ndo uhalisia Kuna mwalimu anaweza toa Lak na 80 anunue baiskel mpya kutoka kwenye mshahara wake bila kukopa?We jamaa acha dharau
Kwann urudi bongo Mzee? Nina master's ya India narudje bongo kugombania kazi za 1.5 Hadi 3m huo si ujinga mkuu, sibora Sasa angesoma open university hiyo master'sSasa kwanini TCU wanataka ukirudi upeleke vyeti vithibitishwe , unaweza ukarudi na master’s yako ukaambiwa kwa level ya hicho chuo ni diploma huku
Mbona hakuna mahusiano ya moja kwa moja kusoma India na kufanya kazi Ulaya , kimgekuwa chuo kipo ulaya sawa ila sio India bora asome hiyo masters open akiwa kazini kuliko hiyo masters ya environment na ecology tena ya IndiaUmesoma andiko lakn?
Hakuna mahali nimesema abak india baada ya masomo, bali nimesema ni njia rahisi kwake kwenda ulaya, Amerika au uarabuni kufanya kazi yeyote hata nje ya taaluma Kwa muda huku akisubiri Kaz ya taaluma yake na akawa na maisha mazuri kuliko mwalimu au wafanyakazi wa halmashauri
Nani kakudanganya? Na hiyo elimu ya India ni kwenye chuo gani?Elimu ya India inathamani Dunia nzima Sio hapa bongo tu Hadi ulaya na marekani, anaingia nchi za ulaya bila shda