Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
- Thread starter
-
- #101
Mm Naomba nikipata ntaleta ushuhuda mm n mwalimu lkn sijapata ajira na sijawah kuomba ajira bado lkn nikipata ufadhili ulaya naondoka na kazi naacha na srud Tena huku nikija nakuja kutalii tu kuona wanyamaSasa si uombe ukasomee huko Mbona unataka kumpangia mwenzio wapi akasome
We kichwa chako kina changamoto mwalimu anaenza degree anaanza na laki 8 akikaa miaka 7 mzigo unafika mil moja na kitu akisema aweke mtaji hawezi kosaMkuu hakuna dharau ndo uhalisia Kuna mwalimu anaweza toa Lak na 80 anunue baiskel mpya kutoka kwenye mshahara wake bila kukopa?
Kuna mwalimu anaweza kujenga bila mkopo?
Kuna mwalimu anaweza kufungua biashara inayoeleweka bila mkopo?
Kuna mwalimu anaweza nunua pikipik bila mkopo?
Kuna mwalimu anaweza nunua gari bila mkopo?
Ukiona kazi hayo ujue kwao wanahela sio mbelile mbelile, mshahara huohuo wa Lak 8 UKoo mzma wanautolea macho utamudu jambo Gani?
Huna exposure kabisa ndo maana unaona India ni dili sana. Umeshawahi toka nje ya nchi hata kwenda hapo Malawi tu?Nmelinganisha level za mishahara unayolipwa uko nje na huku kwetu.
Huyo jamaa akimaliza master's anaweza kwenda ulaya Amerika au uarabuni kirahis zaidi na akafanya kazi za kawaida huku akitafuta kazi za master's hata degree na akapata pesa nzuri kuliko kukaa hapa bongo.
Wenzetu Kenya wametupita vingi Sana as wabongo kwenye kujitoa muhanga risk taking
Labda University of Delhi , India si ndio wamempa msukuma PhdNani kakudanganya? Na hiyo elimu ya India ni kwenye chuo gani?
Hajiulizi kwanini watu wakienda Ulaya hata wiki moja wanabadili lafudhi ila lafudhi hubaki imenyooka hata wakae India miaka 30Wewe Ndio umerogwa. Tena ukarogwa tena . Na inawezekan bongo huijui vizuri.. kupata kazi serikalini ni kama tone la sukari baharini.. kama ulipata kiurahisi shukuru Mola wako
Mkuu ni rahisi kupata kazi ulaya Amerika au uarabuni ukiwa na master's ya India kuliko zahuku jalalani huelewi nn?Mbona hakuna mahusiano ya moja kwa moja kusoma India na kufanya kazi Ulaya , kimgekuwa chuo kipo ulaya sawa ila sio India bora asome hiyo masters open akiwa kazini kuliko hiyo masters ya environment na ecology tena ya India
Msukuma kapewa PhD ya heshima sio ya darasani hivo haitambuliki popoe paleLabda University of Delhi , India si ndio wamempa msukuma Phd
Mkuu hakuna sehemu nimesema abak india baada ya masomo tuwe waelewa kwakwlHajiulizi kwanini watu wakienda Ulaya hata wiki moja wanabadili lafudhi ila lafudhi hubaki imenyooka hata wakae India miaka 30
Kiongozi India sio mahali rafiki hasa kwa mtu mweusi kimazingira na fursa atasoma kwa shida na ma-enviromentalist wapo wengi sio rahisi kupata kazi Ulaya labda angekua mtaalamu wa kozi adimuMkuu ni rahisi kupata kazi ulaya Amerika au uarabuni ukiwa na master's ya India kuliko zahuku jalalani huelewi nn?
Nakama hela atakua anapata milion mbili na Lak 3 Kila mwezi Kwa kipindi Cha miez 18 ya masomo Sasa Kwann abak kugonja mshahara wa halmashauri?
Hii ni njia ya wapambanaji wasio ridhika na vidogo najua akikaa bongo akianza kukopa mawazo ya kuondoka kwenda kupambana kupata kingi ndo hayatakuwepo tena atafia hapahapa unyanini
Acha ujuaje ww India Ina mamia ya vyuo Bora vipo Kwenye ranks ambazo hakuna chuo chako chochote hapa Tanzania kitagusa Hadi kiamaNani kakudanganya? Na hiyo elimu ya India ni kwenye chuo gani?
Mtu mweusi hana raha popote pale hapa duniani hata hapa Africa tunateseka pia Kwa wakolon weusi wenzetuKiongozi India sio mahali rafiki hasa kwa mtu mweusi kimazingira na fursa atasoma kwa shida na ma-enviromentalist wapo wengi sio rahisi kupata kazi Ulaya labda angekua mtaalamu wa kozi adimu
Abaki halmashauri kama anataka kusoma atasoma Open , India big NoMtu mweusi hana raha popote pale hapa duniani hata hapa Africa tunateseka pia Kwa wakolon weusi wenzetu
Milion ndo Hela ya kutamba nayo hiyo si dollar 300 tu ambayo ni kazi ya siku 4 Kwa mbeba box mkuu?We kichwa chako kina changamoto mwalimu anaenza degree anaanza na laki 8 akikaa miaka 7 mzigo unafika mil moja na kitu akisema aweke mtaji hawezi kosa
INdia inavyuo vingi vikubwa dunian vinavyoheshimika, ni nchi mbili tu hapa afrika zinavyuo vya kushindana na vya India Nazo ni south Africa na misriAbaki halmashauri kama anataka kusoma atasoma Open , India big No
Kila hela inathamani kulingana na eneo husika inapotumiwa fedha hiyo wastani kodi marekani ni $2,113 per month sasa hii kodi kwa tzs ni takribani mil 5 sasa mbeba box hata akilipwa mil 10 ya Tz hela inaishia kwenye kodi bongo land mtu analipwa mil amepanga elf hamsini unapata picha sasa haijalishi unalipwa tsh ngapi tunachoangalia ni gharama za maisha sehemu husikaMilion ndo Hela ya kutamba nayo hiyo si dollar 300 tu ambayo ni kazi ya siku 4 Kwa mbeba box mkuu?
We dogo fala sana, Hata Jana tulikwambia ulipotaka ushauri sababu Yako eti kwenda Ulaya kufanya kazi , kama Hilo ndio lengo lako kwanini uteseka kwenda kusoma master ? Watu nje wanakeenda Kwa mipango . Acha ufala kafanye kazi.Lecturer wa chuo hamkuti mshahara storekeeper wa UAE au Saudi Arabia, ulaya na marekan, Sasa master's ya India akipata Kaz ulaya au uarabuni,Canada ua US si anakua na mishahara ya walimu 10 Kwa mwezi
TCU nao wana jeuri sana. Masters ni content na sio mahali inakotokaSasa kwanini TCU wanataka ukirudi upeleke vyeti vithibitishwe , unaweza ukarudi na master’s yako ukaambiwa kwa level ya hicho chuo ni diploma huku
Unafurahisha mkuu kwakwel bado huna exposureKila hela inathamani kulingana na eneo husika inapotumiwa fedha hiyo wastani kodi marekani ni $2,113 per month sasa hii kodi kwa tzs ni takribani mil 5 sasa mbeba box hata akilipwa mil 10 ya Tz hela inaishia kwenye kodi bongo land mtu analipwa mil amepanga elf hamsini unapata picha sasa haijalishi unalipwa tsh ngapi tunachoangalia ni gharama za maisha sehemu husika
Kaz za halmashauri fanyen nyinyi mkuu mm ushauri wangu ndo huo na ningekua mm nisingeomba ushauri swez fia unyaniniWe dogo fala sana, Hata Jana tulikwambia ulipotaka ushauri sababu Yako eti kwenda Ulaya kufanya kazi , kama Hilo ndio lengo lako kwanini uteseka kwenda kusoma master ? Watu nje wanakeenda Kwa mipango . Acha ufala kafanye kazi.