Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Zambia kucheka Tanganyika imekua kitu cha Kawaida maana kila kukicha tupo gizani mda mwingiHuyo mama yenu ni hovyo tu
Hao watu hawastahili heshima.Wengi haturidhishwi na hali ilivyo ila kuwa na heshima kidogo.
Huyu mama hakuchaguliwa na mtu bsli Mkwere kwa maslahi yake tuMkiambiwa WANAWAKE hawawezi hamuelewi.Ipo siku Mungu ataamua huu ugomvi wa Wananchi na huyo aliyeweka pamba masikioni asisikie kelele za umeme.
Usinifanyie hivyo nina uchungu mkubwa kwa mateso ya umemeMkuu tulia! Eb kachukue takeaway mirinda fungua gesi itoke afu kunywa taratibu! Tz sio nchi ya kuwa serious
Hivi kweli hata majiji makubwa uchafu kila kona tatizo nalo nini?Taifa la hovyo la laana uchafu taifa mfu taifa la kipumbavu
Yaani tunadharauliwa na tunaowalipa mishahara, eti ndio tuwaheshimu!!Hao watu hawastahili heshima.
Wapumbaf tu wale na wamepita kimyakimya
Lenyewe liko angani kila sikuZambia kucheka Tanganyika imekua kitu cha Kawaida maana kila kukicha tupo gizani mda mwingi
Yaani hawa wanaotuongoza walifaa kuwa watendaji wa mtaaDah... Imeniuma sana.
Miaka 70 ya uhuru hata kuweza kuwa na umeme Jiji la Daresalam Bado hatujaweza.
Sisi Ngozi mchanganyiko tulitakiwa kutawaliwa na Ngozi nyeupe japo miaka 500 ndio kidogo tungestarabika.
Sasa watu wanalilia Madaraka ili kufanya nini tena?
Ikiwezekana tuwakodi watu weupe waje kutuweka sawa kwanza.
Kuna mihimili ya Madaraka inatakiwa ikodishwe kwanza ili tujifunze kwao.
Huyo mama ni hewa tuHuyo mama yenu ni hovyo
Uku kwa majirani haukatiki kila siku naenda kucharge sim kwa jirani😂Lenyewe liko angani kila siku
WApumbaf waleBahati nzuri machawa nayo tuko nayo gizani
Uko Zmb mkuu?Uku kwa majirani haukatiki kila siku naenda kucharge sim kwa jirani😂
Ndio nipo mpakani mwa Zambia na TanganyikaUko Zmb mkuu?
😂😂😂🫀Hilo la kuchukulia hili JANGA la Umeme kama VITA na kusitisha miradi mingine nilishawahi shauri..
Mama,
Sitisha SGR,hasa kule ambapo bado ujenzi kuanza,hela peleka kwenye UMEME
Sitishe ununuzi wa MaV8 ,peleka kwenye UMEME
Tafuta majenereta ya kukodi,ila MIKATABA iwe wazi na kuzuia upigaji
Umeme ni MAISHA
Umeme ni UHAI
Umeme ni KODI