Watanzania tunapaswa kuambiwa na kujua ukweli kwamba Gesi inayochimbwa Mtwara si yetu

Tanzania nchi yangu wote ni wajinga vichwani tumejaa matope ns makamasi magufuli alitutoa kutu ila tulimbagaza sana
 
That is the second stage of negotiations na ndicho kinacho ongelewa kila siku.

This when a business contract is drafted kila mtu ana bargain on how they should share earnings (ni lazima uwe mwerevu na ufikirie lifetime ya mradi) kumbuka kuna uwekezaji mwingine inabidi wafanye wa kujenga LNG.

Kuwa na exclusive rights maana yake wao ndio wenye haki ya kuingia mkataba na serikali it doesn’t equate to having the bargaining power. Ndio maana serikali ikidengua wawekezaji hawana budi zaidi ya kusubiri tu na kutuma watu watoe pressure (this is where Zitto comes in).

Alikadhalika serikali aiwezi kuongea na watu wengine zaidi yao (unless mwekezaji amuuzie hizo right mtu mwingine).
 

C: camilo pgo na wengine wooote watetezi wa matumizi ya gas kwa ajili ya Umeme bila Kutuonea huruma kwa bei
 
Ok, nimeelewa maana ya hiyo exclusive right na sioni kwa nini kuna haja ya kui mention kwani hiyo ni inherent right from the beginning.

Hiyo second stage of negotiation inafanyika baada ya madini/mafuta kupatikana? Nafikiri hapo ndio tatizo. Kwa nini visiongelewe vyote from the beginning?
 
Swali ni kwa nini raia wanchi hii ni kama hayawahusu kabisa yanayofanywa na chama hiki? Ni kama wameridhika kabisa na yote yanayotokea!

Kuna kitu gani hasa kinachowalaza akili wananchi wa nchi hii hadi wasione ubaya wa chama hiki?

Kinacho waliwaza ni wengi kukosa maarifa wanaamani maisha ya kukosa huduma za kijamii ni sawa tu
 
Iyo Gas yote kama imeshauzwa,imeuzwa kwa shilling ngapi?
 
Contract ni ya muda gani kwa hao wawekezaji kurudisha gharama na kupata faida? hisa za serikali ni asilimia ngapi? ndo maana magu hakuwa na mzuka nako hadi kuangukia kwenye bwawa la stiglaz.......
Mtoa mada anasema imeshauzwa wewe unauliza hisa tena
 
Kwenye hilo bandiko lako haukusema tumeibiwaje,na huyu mwenzio anaetuambia gesi tulishauza hasemi tuliuza shilling ngapi.
 
Nani alisababisha huu UPUUZI?
 
Mikataba ya jk hio sasa,mswada unasomwa asubuhi jioni ushapitishwa.bado bandari ya bagamoyo
Mtakuja shtuka baadae imekula kwetu hii
 
Magufuli alikua ana jicho la kuona mbali sana.
Na wasiwasi sana na January asije kwamisha mambo
 

Hapana nakupinga. Mifano tunayo mingi ya ngozi nyeusi ktk kuhakikisha haki inapatikana kwa watu weusi. Tatizo tulilo nalo ni kwamba bado tunateswa na legacy ya ukoloni - bado tunaamini ngozi nyeupe ndio kila kitu...ukichanganya na ubepari wa sasa ndio kabisa tunakuwa hatuna jipya.

Mapinduzi kupitia mtu mweusi yanawezekana kabisa. We can have our own developed and prosperous Africa/Tanzania, hii inawezekana kupitia mimi na wewe. Hata hao mabepari watufunge na sheria still we can do something, mchina aliwezaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…