Watanzania Tunashukuru Mungu kwa kutupa Rais Samia, yule Baba angetutoa roho

Salaam Wakuu,

Pamoja na mapungufu ya mambo ya vyama vya Siasa na Malalamiko ya Demokrasia, safari hii nafuu kuliko wakati ulopita.

Rais Samia anaiongoza Tanzania. Na hatoki kwani bado anautamani Urais na ziara za hapa na pale.

Watu wanaojipanga kumtoa kwenye kiti chake kwa karatasi, msitegemee atawaletea uji kwenye kijiko cha dhahabu, Munatakiwa Mjipange kiakili ikibidi ombeni msaada nje ya Nchi, ongea na Waasisi wa Nchi hii ili wawasaidie kumshawishi matakwa yenu.

Vinginevyo mtaishia kupiga kelele. Kikwete aliwahi kusema, Kelele za Mlango, hazimzuii mwenye nyumba kulala.

Kwa Upande wangu Namshukuru Mungu kwa kutoondolea balaa, Janga na jitu lisilofungwa Kengele.

Asingekuwa Mungu, yule Baba angetutoa roho.

Thread hii nimeiandika kichwani Mwangu nikiwa Mifereji ya damu inayotiririka ya Watanzania Ben Saanane, Alfonce Mawazo na Wengine wengi.

Zama za majizi za kuchukua pesa kwenye akaunti za beni za Wavuja jasho kisha kuwafungulia kesi za uhujumu uchumi na kuwataka waombe msamaha, imekwenda na maji. Sasa akaunti unaacha hela kesho asubuhi ukiamka unaikuta salama.

Mungu ni mwema
Watanzania wengine ni wajinga tu wengine wanaudini na ukabila ndo kila siku kumsifu au kumponda Samia na Magufuli! Stupid people discuss people!
 
Hivi watu hamuwezi kumsifu huyu mama bila kumponda Magufuli! Lengo lenu ni Nini hasa? Yani kwamba mnaweza kubadilisha mindset zetu kwa yule mzee eti kwa sababu ya hivi viandiko vyenu uchwara? Shenzyyy
 
Haikuwa lazima kumponda asiyekuwepo tena hapa Duniani....
 
  • Thanks
Reactions: nao
Kwahilo hata mimi namshukuru mungu. Kwanza gaidi kawekwa ndani.

Pili wale waliojifanya wakimbizi wa kisiasa wakae hukohuko wasije kabisa wasije wakaambikizwa ugaidi na mkubwa wao

Pole sana mtukufu amekufa ameiacha igombe kama pori kumejaa vumbi utadhani hamna mtu anaishi huko hamieni chato mkatoe mapambio vizuri kule kuna mpaka taa za kuongozea baiskeli na ng’ombe
 
Hao wezi ndio unaita wavuja jasho??

Huna aibu kabisa kutetea wezi??
 
Hizi chuki kwa Magufuli kama zingeelekezwa chuki kama hizi kwa ccm basi nafikiri Mungu angekuwa amefanya jambo na ccm ingekuwa historia tungekuwa tunamshukuru huyo Mungu sasa hivi.
Alikataa kuihusisha CCM akasema chagua Magufuli sio CCM Sasa unatutaka tuichukie CCM kwa sababu gani hapo?
 
Rais ambaye hana uthubutu ni ngumu sana kuleta maendeleo. Serikali ya awamu ya sita ipo tu muda wake uishe.
 
Alikataa kuihusisha CCM akasema chagua Magufuli sio CCM Sasa unatutaka tuichukie CCM kwa sababu gani hapo?
Kwa sababu Magufuli aliitumia ccm kuendelea kuwa madarakani kama ambavyo miaka yote ccm imekuwa ikifanya, bila hiyo kufanya kama ifanyavyo basi pengine ile 2015 Magu asingekuwa rais.
 
Salaam Wakuu,

Pamoja na mapungufu ya mambo ya vyama vya Siasa na Malalamiko ya Demokrasia, safari hii nafuu kuliko wakati ulopita.

Rais Samia anaiongoza Tanzania. Na hatoki kwani bado anautamani Urais na ziara za hapa na pale.

Watu wanaojipanga kumtoa kwenye kiti chake kwa karatasi, msitegemee atawaletea uji kwenye kijiko cha dhahabu, Munatakiwa Mjipange kiakili ikibidi ombeni msaada nje ya Nchi, ongea na Waasisi wa Nchi hii ili wawasaidie kumshawishi matakwa yenu.

Vinginevyo mtaishia kupiga kelele. Kikwete aliwahi kusema, Kelele za Mlango, hazimzuii mwenye nyumba kulala.

Kwa Upande wangu Namshukuru Mungu kwa kutoondolea balaa, Janga na jitu lisilofungwa Kengele.

Asingekuwa Mungu, yule Baba angetutoa roho.

Thread hii nimeiandika kichwani Mwangu nikiwa Mifereji ya damu inayotiririka ya Watanzania Ben Saanane, Alfonce Mawazo na Wengine wengi.

Zama za majizi za kuchukua pesa kwenye akaunti za beni za Wavuja jasho kisha kuwafungulia kesi za uhujumu uchumi na kuwataka waombe msamaha, imekwenda na maji. Sasa akaunti unaacha hela kesho asubuhi ukiamka unaikuta salama.

Mungu ni mwema
Na wewe figaniggaa??? Duuh.

Enzi zile tulijua nyie mnafaidi kumbe zilikuqa ni mbwembwe tu.

Mnamkana mtu wenu wazi wazi??
 
Back
Top Bottom