Watanzania Tunashukuru Mungu kwa kutupa Rais Samia, yule Baba angetutoa roho

Watanzania Tunashukuru Mungu kwa kutupa Rais Samia, yule Baba angetutoa roho

Hivi watu hamuwezi kumsifu huyu mama bila kumponda Magufuli! Lengo lenu ni Nini hasa? Yani kwamba mnaweza kubadilisha mindset zetu kwa yule mzee eti kwa sababu ya hivi viandiko vyenu uchwara? Shenzyyy

Yaani huyu mama sio mzuri kivile, ila yeye ana afadhali kuliko huyu usiyetaka apondwe. Ww na hao wenzako msio na mpango wa kubadili mindset zenu kwa hivi viandiko uchwara, ndio mtajua hamjui.
 
Back
Top Bottom