ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
SawaTupaze sauti.
#KURA ZIHESABIWE KWA UWAZI UCHAGUZI MKUU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaTupaze sauti.
#KURA ZIHESABIWE KWA UWAZI UCHAGUZI MKUU
Mkuu huenda hufuatilii vizuri, ukipiga kelele hakuna lolote la maana litatekelezwa na wanasema hayo ni maumivu ya kushindwa. Na wala wanaosimama kidete kupinga wizi huo hupewa kesi za kuharibu uchaguzi. Kibaya zaidi mahakama zinakuwa zimepewa maelekezo ya kuwafunga watu waliokuwa wanapinga uhuni huo.Tindo, uko sahihi sana.
Uwakilishi unaopatikana kwa mbinu badala ya Kura halali, ni uporaji na ni kinyume cha Katiba iliyopo na Kanuni za Uchaguzi zilizopo.
Kwa kuwa Kura zinatakiwa ziwe halali, Wapiga Kura tumechangia sana kuleta tabia hizi mbaya za Chama Tawala kwa kukaa kimya.
Kila wanachofaa, sisi tumekuwa kimya.
Mwishowe wanajiona wako sahihi.
Hatuhitaji Silaha za moto.
Tunahitaji kupaza sauti, tusikike.
Wanaotumia Silaha za moto, Kwa watu ambao hawana hata mawe mikononi wana lengo la kututisha.
Wanalenga kututisha ili tutishike, tuogope kusema.
Kimsingi, wanajijua kuwa wana hatia.
Sisi tupaze sauti.
#KURA ZIHESABIWE KWA UWAZI UCHAGUZI MKUU
Cha kwanza kabisa issue ya UCHAWA ifeHao Wananchi ni mimi na wewe.
Tuanze.
Watawala wanataka tuendelee kuwa kimya kama Makondoo.
Tukatae.
Tupaze sauti.
#KURA ZIHESABIWE KWA UWAZI UCHAGUZI MKUU
Sawa mkuu ChoiceVariable:Sawa
Sawa pazeniSawa mkuu ChoiceVariable:
Tupaze sauti zetu.
#KURA ZIHESABIWE KWA UWAZI UCHAGUZI MKUU
Na kwanini mtu asitake uwazi,yeye ni nani?Tukiamua, kwa wingi wetu sisi Wapiga Kura, asiyetaka atalazimika kutaka.
#KURA ZIHESABIWE KWA UWAZI UCHAGUZI MKUU
Nimesoma kwa makini ilichoandika.Mkuu huenda hufuatilii vizuri, ukipiga kelele hakuna lolote la maana litatekelezwa na wanasema hayo ni maumivu ya kushindwa. Na wala wanaosimama kidete kupinga wizi huo hupewa kesi za kuharibu uchaguzi. Kibaya zaidi mahakama zinakuwa zimepewa maelekezo ya kuwafunga watu waliokuwa wanapinga uhuni huo.
Haya yanayoitwa maridhiano ni pamoja na watu waliofungwa kwa kupinga kura za wananchi kuchezewa, lakini hakuna hatua za kisheria walizochukuliwa wanaoharibu chaguzi. Machafuko pekee ndio lugha itakayoeleweka kwa wanaonajisi chaguzi zetu. Lakini kupaaza sauti ni kuongopeana mchana kweupe.
Hubble Telescope, (Astrophysicist),Cha kwanza kabisa issue ya UCHAWA ife
Mkuu Smart911,
Nakubaliana na wewe.Naunga mikono hoja,
Watanzania ikibidi katika kituo cha kupiga kura tujigawe,wa ccm upande wao na upinzani upande wao,ijulikane kabla hata ya kura kupigwa
Mkuu "milele Amina"Mifumo inaweza kusaidia kuimarisha imani ya umma katika mchakato wa uchaguzi na kuleta uwazi zaidi kwenye upigajinna kuhesabu kura:
1. Uchaguzi wa Kidijitali: Kutumia mifumo ya kidijitali kwa ajili ya kuhesabu kura inaweza kuongeza uwazi. Hata hivyo, ni muhimu kuhakikisha mfumo huo unakuwa salama na unapatikana kwa umma.
2. Vituo vya Uhesabuji Kura vya Hadhara: Kuweka vituo vya kuhesabu kura ambavyo vinapatikana kwa umma, ambapo waangalizi na wawakilishi wa vyama wanaweza kushuhudia mchakato mzima.
3. Vidokezo vya Kura (Ballot Tracking): Kutoa mfumo wa kufuatilia kura zinazopigwa, ambapo wapiga kura wanaweza kufuatilia kura zao hadi mwisho wa mchakato wa kuhesabu.
4. Ushirikishwaji wa Waangalizi wa Tatu: Kuleta waangalizi wa kimataifa au wa ndani ambao wanaweza kushiriki katika mchakato wa uchaguzi na kuangalia uhalali wa mchakato wa kuhesabu kura.
5. Ripoti za Mara kwa Mara: Kutolewa kwa ripoti za mara kwa mara kuhusu mchakato wa kuhesabu kura ili kuweka umma informed na kuimarisha uwazi.
6. Kurekodi na Kutangaza Matokeo kwa Haraka: Matokeo ya awali yanaweza kutangazwa haraka ili kupunguza nafasi za udanganyifu na kuweka uwazi.
Unasema sawa🤣.Sawa
We ndio watanzania? Watanzania wana wawakilishi wao wa kuwasemea, tafuta fursa ya kwenda kuwawakilisha hao watanzania kwanzaNjia pekee ya Watanzania kuheshimiwa na Wawakilishi wetu ni kuhakikisha kwamba Kura zetu zinahesabiwa katika mazingira ya uwazi kwenye kila Kituo cha Kupigia Kura, na matokeo hayo yawe rasmi.
Tabia ya kufukuza Wapiga Kura kwenye Vituo vya Kupiga Kura ikomeshwe ili Mshindi halali ajulikane.
Hili halihitaji Azimio la Bunge wala Mswada wowote wa Sheria.
Wananchi tukiamua na kushinikiza, hili linawezekana kufanyika kwenye Uchaguzi Mkuu Novemba mwaka huu 2025
#KURA ZIHESABIWE KWA UWAZI UCHAGUZI MKUU
Dawa ya nguvu ya Rupee ni kuhesabu Kura kwa uwazi.CCM huwa inashinda kwa kutumia nguvu ya dola $