Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wewe ni mfuasi wa Andrew TateSio kwamba watu wamestaarabika. Bali kile kizazi kilichopigania uhuru kinaishia. vijana siku hizi wamekuwa waoga wa kuumia, legelege na mayaimayai. Unakuta mtoto wa kiume hawezi hata kurusha ngumi kujitetea, acha tu ile kujua jinsi ya kurusha ngumi kisawasawa ikatoa meno ya mtu.
Low testosterone ni tatizo kwa watoto wa kiume wa sasa, ukichangia mavyakula ya ajabuajabu wanayokula na malezi ya mabovu ya kidigitali na single mothers. That's why humu kumejaa mafala ya upinde yenye matatizo ya akili siku hizi, sehemu ambayo ilikuwa kwa ajili ya watu wenye akili na critical thinkers.
Jamii imejaa vijana weak, utakuta humu wengine wanachat na mashetani ya upinde kama dada zao. Wewe unategemea vipi mtu anayetaniana na kusociolize na fala ajue kupigana?
Jamii haijastaarabika wala kuwa civilized bali kizazi kilichopigania uhuru na vita ya kagera kinaishia.
Sio kustaarabika ni vizazi vile vimekuwa phased out na utu uzima pia. Ukitazama watoto wa 80's wengi ndio walikuwa na mapigo hayo wakarithisha kwa wale wa 90's ila kwa sasa hawa kundi la kwanza wako 40's wengi wame settle na familia baadhi still wanapambana na maisha. Hawa wa 90's nao wako on their 30's utu uzima umeanza kuwaingia nao wako focused na maisha zaidi.
Vizazi vya hayo makundi ndio akina junia ambao wengi wanazaliwa na kukulia kwenye comfort zone. Shule na school bus kila kitu wanajitegemea hawagombei uji wala sambusa sasa ugomvi utatokea wapi? Wachache ndio wako Kayumba schools ila pia hawana mambo ya crews yale shule wanaanza wakiwa wadogo sana na wanamaliza mapema sana.
Hongera apewe mamaAu nakosea 😂😂😂😂
Mpaka unabubujikwa na machozi mkuu 😂😂😂😂😂😂Hongera apewe mama
Lakini kumbuka hata kwenye huo wimbo. Tommy alipoona dharau zimezidi hadi kwake kwa mke wake. ALIWAPASUA wale vijana hawakuamka, na hawatakaa waamini!! Na akaconclude 'sometimes you got to fight when you are a man'Tafsiri ya nguvu na ubabe sio katika kugombana wala kupigana ngumu
Ukiwa unanguvu na ubabe unaweza kutumia hizo nguvu kujipatia riziki Kama kuwa bondia au kulinda RAIA.
Binafsi nikiona MTU anagombana huwa namshusha viwango Sana.
Kenny rogers - coward of the country
Mkipigana hadharani wote wawilinakwenda kulala gerezani, siku inayofuata mahakamani.Uelekeo ni mzuri katika ustaarabu wa kuweza kuyasuluhisha mambo bila kupigana kama ilivyozoeleka zamani.
Ni kupevuka kwa akili na kupenda amani kumefanya tuweze kutumia midomo bila silaha, ngumi, mateke, vibao, n.k.
Nakumbuka hapo zamani kulikuwa na mambo ya ubabe wa kishamba sana, kigezo cha kupimana kilikuwa kwenye nguvu zaidi kuliko hoja na sababu
Ndio mwanangu paling mtu mbili puta mchanga tema mate vuka msitariKwahio mmezipanga mtu mbike au sio😂? Vipi ulimchapa au kakugaragaza. Kiufupi dharau ndio chanzo cha nakoz konz
Kumbe ulikuwa na 1st Lady halafu ukataka kuchoraa😂!!! All in All ngumi nzuri kuzitazama tu ila sio wewe uwe unakandwa.Ndio mwanangu paling mtu mbili puta mchanga tema mate vuka msitari
Ile sijakaa sawa Jamaa kwanza alinipa mbili za faster zenye ujazo kama kilo 50 hivi
Nikaona nyota 2 tatu me mfupi kidogo jamaa mrefu nikawa narudisha ngumi zngu zikawa hazina madhara kwake HAZIFIKI usoni
Na bado jamaa anarusha ngumi mfululizo sema kwakuwa kishawaka nikawa nakwepa na kuzipanchi
Nikasema sasa leo nitaahibika nikiangalia pembeni watu hawagombelezei wanatuangalia tu nikawaza nikimbie nikasema nitakuwa VERY COWARD mbele ya mama chanja mwanaume akimbii vitani na mama watoto NYOTA atanivua nyingi sana
Ikabidi sasa nifanye km nataka kumvaa ile ajaribu kunipush kumbe mm lengo langu kumkata mtama
Nikafanikiwa kwakuwa hakujiandaa
Nikamkalia juu na kumpelkea ngumi mfulilizo yaan mpk sasa mkono unauma kishezi nikaja kuvutwa kwa nguvu kutolewa juu wakati huo jamaa sijui hali yake ikoje sikutaka tena kuendelea kuwepo hapo tukasepa na WIFE
ila mpk sasa nina NUNDU kichwani yaan hata kutafuna vizuri siwezi upande wa kushoto
NGUMI zake kari sana zinaujazo haswa nusura anitengue taya
Lakini pamoja na yote nimefurahi nimechangansha mwili na kuweka mipaka ya HESHIMA mtaani
Wakati tupo hone ananikqnda NUNDU na barafu
Akawa anasema kumbe wewe ukikasilika ni mkorofi hvyo jamani pole MUME WANGU
Basi bana usiku wa jana nikapewa vitu hadimu sana ambavyo nilivimiss tangu enzi ya HONEYMOON
Hvyo pamoja na NUNDU lkini nimeonesha uanaume hvyo nimeongeza NYOTA nyingi kwa mama chanja
Noma sanaKumbe ulikuwa na 1st Lady halafu ukataka kuchoraa😂!!! All in All ngumi nzuri kuzitazama tu ila sio wewe uwe unakandwa.
SureUelekeo ni mzuri katika ustaarabu wa kuweza kuyasuluhisha mambo bila kupigana kama ilivyozoeleka zamani.
Ni kupevuka kwa akili na kupenda amani kumefanya tuweze kutumia midomo bila silaha, ngumi, mateke, vibao, n.k.
Nakumbuka hapo zamani kulikuwa na mambo ya ubabe wa kishamba sana, kigezo cha kupimana kilikuwa kwenye nguvu zaidi kuliko hoja na sababu