Watanzania tususie biashara za Pauline Gekul mpaka aombe msamaha

Tafuta Hela acha ujinga unaosababishwa na Roho ya wivu ,yaani niache kulala au kula sehemu nzuri kisa mambo binafsi ya mmiliki wa sehemu hiyo,mwache apambabe na mkono wa Sheria .
 
Issue ya Gekul ni tone la maji kwenye bahari, tatizo kubwa ni ccm, chukia kenge wa ccm
Ccm imemtuma? Huyu si alikuwa chadema pia, sasa hapa nani ni Mwl wake?
Kwa sauti ya mdogo wake inayosambaa mtandaoni inasema chadema walikuwa wanaendesha kwa mapanga na marungu. Sasa hapo tuchukue kipi?
Kuna wana cdm na ccm waaminifu na kuna wana cdm na ccm walikokiwa wananunuliwa. Hapa ni roho ya mtu mwenyewe
 
Tuhuma hazijathibitishwa mbona mnamhukumu kwa maneno? Kama tukio limekuwa staged unajuaje?

Tafuta Hela acha ujinga unaosababishwa na Roho ya wivu ,yaani niache kulala au kula sehemu nzuri kisa mambo binafsi ya mmiliki wa sehemu hiyo,mwache apambabe na mkono wa Sheria .
Sidhani kama kususia ni wivu... Ususiaji pia huwa tunausisitiza kwenye mambo mengine mfano kampuni inanyanyasa watoto etc. kwa mazingira hayo sisi walaji tuna boycott huduma zinazotolewa ili kuonyesha solidarity na waathirika. Wewe ni mmoja wa beneficiaries wa biashara za Gekul kwa hiyo ndio maana umechanganyikiwa. Sasa unafikiri tunawezaje kuonyesha hasira zetu bila kususia biashara za muhusika tena ambazo zimemsababishia mwananchi matatizo?
 
Wewe unafikiri una akili nyingi kuliko mamlaka ya uteuzi iliyotengua uteuzi wa Gekul? Kwa hiyo unataka kusema mamlaka iliyotengua nafasi yake ya Naibu Waziri imekosea? Haijakanya uchukuzi kujirishisha?
 
Hiyo sasa nongwa sheria zipo ya nini kujazana chuki bila ya sababu, wewe hujawahi kukosea?
 
huo si ushamba lakini,
Tuliwahi kuambiwa tususie mtandaoni fulani wa simu, tususie uchaguzi lakini wapi hakuna madhara wala faida ikaja kubainika ni chuki tu, mihemko, ghadabu na hasira za kinyumbu
 
hawa na hii mihemko yao na ghadhabu za kinyumbu soon watahamishia lawama zao kwamba mahakama haikutenda haki...
 
Hafai kuwa hata balozi wa nyumba 10

Kama ndio mimi ndugu yangu amefanyiwa huo unyama, tena wa kuingiziwa chupa kwenye haja, aise nitahakikisha haishi nchini,

Serikali msilikalie kimya suala hili, imeniuma sana ni kama ndugu yangu
 
Msimamizi wa sheria anafanya unyama kwa mpiga kura? Haijawahi tokea. Sasa anasimamia nini? Lazima tususe. Hatutaki kumwongezea nguvu mtu mwenye roho ya uuaji?
HAWA NI WALE WALIOPITA KWA KURA ZA WIZI ENZ ZA MWENDA ZAKE ILI BUNGE LIWE KIJANI
MATOKEO YAKE NDO HAYA SASA
SIO CHAGUO LA WANANCHI NA HAPA NDO INATAKIWA CCM WAJIFUNZE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…