Aisee kuna kukosea na kuna kumtia mtu chupa Takoni, hiyo ni Gross Misconduct atalaaniwa mpaka Motoni huyu mama.Mwacheni dada wa watu, ni nani ambae hajawahi kufanya makosa hapa duniani? Hakuna binadamu aliekamilika
Niache kwenda kulala pazuri kisa dogo kaingizwa chupa kunako?WanaJF,
Nashauri kuanzia leo tususie biashara zote anazofanya huyu mbunge wa Babati kwa kitendo chake cha unyanyasaji. Naomba anayezifahamu aweke majina yake hapa.
Tuanze na hiyo hoteli inaitwa Palii sijui nini.
Hakuna kufanya biashara na muuaji au wanaomsapoti mpaka akili iwakae sawa.
Nimemaliza
Una uhakika gani kama ni kweli?. Wacha tusubiri vyombo vya kutoa haki vifanye kazi yake ndipo tuweze kupanua midomo yetu. Unajua wakati mwingine uongo huwa unapanda lift na ukweli huwa unapanda ngazi. Lakini taratibu utafika roof top. Tumeambiwa hawa wamama wana bifu tangu zamani. Na inasemekana wako na bifu za kiitikadi pia. So lolote linaweza kuwa kweli kwa maana ya kumzushia gekul au gekul kufanya unyama. Njia pekee ni kusubiri court watu wapeleke ushahidi na haki itatolewa.
Si ni binadamu tu kwanini nisimsingizie. Acha utaratibu wa kisheria ufuatwe bwege weweHivi Mpka raisi wa Nchi, inamfikia na kuamua kumtumbua unafikiri bado Ni Tuhuma??? Unaijua Intelligensia Ya office ya Raisi ?? Raisi hakulupuki kashapewa data kuwa ni kweli....
Then kusingiziana huku ni kwetu kajamba Nani, ww unaweza msingizia Naibu waziri wa Sheria??
Ndio amuingize mtu chupa mkundun(I)Mwacheni dada wa watu, ni nani ambae hajawahi kufanya makosa hapa duniani? Hakuna binadamu aliekamilika
Wewe ulishawahi kumuingiza mtu chupa kama walivyofanya? Makosa yanatofautiana, halafu yule ni kiongozi ana nguvu ya pesa na mamlaka, unapenda kuona watu wakinyanyaswa?Mwacheni dada wa watu, ni nani ambae hajawahi kufanya makosa hapa duniani? Hakuna binadamu aliekamilika
Kwahiyo unataka kutuaminisha kama tuhuma za wahanga zingekuwa sahihi Gekul angekuwa tu sahihi.Umechunguza kwa kina na ukabaini sababu ya mh huyo kuwapa adhabu watumishi wake hao au unashauri tu kwa Sababu uns uwezo wa kuandika?
Ndio, tunasusia bidhaa zinazompa kiburi kuntanyasa watu...Hili la kususia biashara zake haiwezekani. Huo ni utaahira wa Lema. Mtu asiende kupata kinywaji bar kisa mmiliki wake ana kesi?
Nasisitiza hilo haliwezekani. Tafuteni agenda nyingineNdio, tunasusia bidhaa zinazompa kiburi kuntanyasa watu...
Hatuwezi tukaacha kwenda kwa bar yake,tutaenda sana tu.Ndio, tunasusia bidhaa zinazompa kiburi kuntanyasa watu...
Nenda mwenyewe na wenzako wachache ambao hamjui kati ya jema na baya.Hatuwezi tukaacha kwenda kwa bar yake,tutaenda sana tu.
Nasisitiza hilo haliwezekani. Tafuteni agenda nyingine
Huyo inawezekana kwake kuua ni jambo la kikeUnyanyasaji wa wananchi ni mambo ya kike mkuu? Tuhurumie kidogo