Watanzania Wakesha Makanisani Wakibubujikwa Machozi Kumuombea Heri Rais Samia

Washindwa kuombea ndugu na familia zao zilizo kwenye lindi la ufukala na kuwalilia na kuwaombea ndugu zao walio tangulia mbele za haki ebu jaribu kuwa na akili

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Wanamuombea heri na Maisha Marefu Rais wetu kwa sababu wanaona juhudi zake katika kupambana usiku na mchana kuwakwamua watanzania na kuwainua kimaisha kwa kuweka mazingira wezeshi na rafiki
 
Ukiwa sawa kichwani basi rejea hapa tena.
Acha bana utoto huu, hamna mtu aliyebubujikwa na machozi wakati wananchi tuko busy na kuomba Mungu atusaidie kuingilia kati maisha yetu tunavyoteseka.!!
 
Acha bana utoto huu, hamna mtu aliyebubujikwa na machozi wakati wananchi tuko busy na kuomba Mungu atusaidie kuingilia kati maisha yetu tunavyoteseka.!!
Bila shaka wewe ni mlevi uliyekesha bar ukinywa na kulewa na mpaka sasa bado ipo kichwani
 
Mimi ni mwana CCM
Hata huko CCM wenye CCM yao hawakujui ndiyo maana unahangaika sana kuparamia paramia watu wenye hela ili wakutupie makombo. Wenye CCM yao tunawajua jee unawaona wakiendesha uchawa kusifia sifia watu humu?
 
Wenye CCM ni wana CCM wenyewe.CCM siyo mali ya mtu binafsi.
 
Heri Mimi sio moderator wa jf mana

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ngoja kwanza nicheke.
 
Hao Machizi tu. Wangekuwa na akili Wangeobea familia zao.
 
Huna tofauti na Malaya (Ashakum sio matusi)
 
Hao Machizi tu. Wangekuwa na akili Wangeobea familia zao.
Wewe unaamini Kuna mahali Tanzania hii kwamba Kuna watu wamekesha purposely kumuombea samia?
Hakuna kitu kama hicho hata Jiwe aliyekua analia Kila siku mniombee hakuna siku watu walikesha ibadani yeye akiwa theme of prayers or congregation!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…