Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Aisee Huyu atakuwa anakula keki ya taifaKaka mkubwa yupo kazinii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee Huyu atakuwa anakula keki ya taifaKaka mkubwa yupo kazinii
Kazi kweli kweliKaka mkubwa yupo kazinii na kazini kwake ipo kazi
Utaanzaje kuwapiga Watu picha wakati wamezama kimaombi.
Kutisha nini ndugu yanguHuu uzi bila video za kutisha,haunogi
Akili kisoda, huna zaid ya kusifia sifia na kujikombakomba, matokeo yake hata unaojikomba nao washaona nuksi kuku-consider kwenye teuzi!Acha ujinga wako hapa wewe
Acha wivu wako wewe. watanzania wanatambua mchango Chanya wa Rais Samia katika kuinua Maisha yaoYaani watanzania waache kuombea mambo yao binafsi,wamuombee huyo mtu wako,watanzania hatuna upumbavu huo
Mimi nasema ukweli na siyo kujikombaAkili kisoda, huna zaid yankusifia sifia na kujikombakomba matokeo yake hata unaojikomba nao washaona nuksi kuku consider kwenye teuzi!
Mimi huwa naleta habari kama navyozipata kutoka MitaaniNingeshangaa mwaka uanze bila story za hivi kutoka kwako
Mimi siyo chawaHivi utaliowa kweli hizo posho za uchawa...? Bila kububujikwa.....huwezi kuandika makala zako za kichawa
Unaumia ukiwa wapi huko kusiko na sumu ili unywe na kufaUnawakilisha mbumbumbu wenzako waliobubujikwa na machozi 🚮
Nilikuwa kwoteLuca ulikuwa kwa ze bulldozer ama kwa Mucha,ama Kiboko ya wavilingeni.
Mtaani....haha haaaaMimi huwa naleta habari kama navyozipata kutoka Mitaani
Mimi siyo chawa bali ni msema kweli siku zoteLevel yako ya uchawa imenishinda kabisa
Chawa pro max WeweeeMimi siyo chawa
Picha ya watu wanaobubujikwa machozi na sio maandishi marefu kama nji ya treni.Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia anapendwa sijapata kuona, anakubalika kama Nabii.kiukweli Mama anaheshimika kwa watanzania haijapata kutokea.
Nimeshuhudia Waumini katika makanisa mbalimbali wakiwa wamepiga magoti huku wakibubujikwa na machozi kumuombea heri Rais Samia utafikiri mabomu ya machozi yamepigwa makanisani .
Watanzania bila kujali itikadi zao za kisiasa wanakubali kuwa Mama huyu mwenye moyo wa upendo,huruma, unyenyekevu na uvumilivu ni mtu sahihi anayestahili kuungwa mkono na kuombewa sana.
Imani ya Watanzania ni Kuwa Mama Anatosha,Mama amekidhi matarajio ya wengi, Mama pamoja na changamoto mbalimbali lakini ameonyesha umadhubuti na uhodari katika kuzitatua na Kwamba Taifa ni salama Mikononi Mwake.
watanzania wameona na kukiri kwa vinywa vyao kuwa Maisha ya Mama yamekuwa kwa ajili ya kuwatumikia watu,kuleta matumaini na tabasamu kwa watu pamoja na kuwainua watu.ndio Maana wanabubujikwa na machozi kumuombea heri na Maisha Marefu pamoja na nguvu za kuendelea kututumikia na kutuongoza watanzania.
Kwa hakika Rais Samia anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.hii ni baada ya kugusa na kubadilisha maisha ya mamilioni ya watu wengi ,kwa kuwapa matumaini yaliyo hai kwa kuwafanya watanzania kuona kila uchao ni bora kuliko jana na kila mmoja kuliona tumaini machoni pake.
Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na ni chaguo la Mungu Mwenyewe kumuinua kuliongoza Taifa letu. Hakuna mkono wa Mwanadamu uwezao kumshusha kwa hila ,wivu na chuki binafsi.View attachment 3190248
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lucas mwashambwa naomba namba YAKO pls.Ndugu zangu Watanzania,

Washindwa kuombea ndugu na familia zao zilizo kwenye lindi la ufukala na kuwalilia na kuwaombea ndugu zao walio tangulia mbele za haki ebu jaribu kuwa na akiliSoma nilichoandika ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazo na chuki binafsi.nimesema nimeshuhudia watu Wakibubujikwa na machozi kumuombea heri Mama yetu na kuomba Mungu aendelee kumtunza na kumlinda pamoja na kumjalia afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.
Songo kweli nimekunywa mwalamusha ila huu ujinga acha uishie 2024Huwezi ukaelewa nilichoandika ikiwa ulikesha unakunywa Pombe na kuamkia pombe na kushinda kutwa nzima ukiwa na pombe kichwani.