I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Swali zuri sana hili, vipi amekujibu huyo psychopath anaemuona Pychopath mwenzie Putin ni mwamba na hodari kwa kuua watu na kuharibu uchumi.Sababu ya kuishambulia Ukraine ni nini?
I might not agree with your assestment of the situation considering,you made the assestment prior to Russia de-militarizing Ukraine overnight..Kuextend eneo lake zaidi
Yaani kwa kifupi ni kwamba RUSSIA inaamini kuwa UKRAINE ni himaya yake, na sio Ukraine tu ni pamoja na nchi zingine za jirani.
Historically, Russia ilishakuwa Superpower katika dunia hii as USSR, na ingawa sasahivi ndio Nchi yenye eneo kubwa zaidi duniani, wakati ule ilikuwa na eneo kubwa karibu mara tatu au zaidi ya eneo la sasa na RUSSIA haijawahi kuridhika na suala la USA kuwa Superpower that Conguer the world pamoja na washirika wake wa karibu hasa UK na France.
Russia wana high technology kwenye mambo ya silaha na technic na pia ni nchi yenye historia na uzoefu wa vita tangu zamani.
Wanajiamini na wanataka dola yao ya zamani itambulike...walianza zamani conquering tangu enzi za kina Tsar Alexis, Peter the Great na wengine...kipindi cha Byzantine empire, Russian empire n.k
Kwa hiyo kikubwa ni kutaka kuonesha ubabe kwa nchi zingine na pia wanahitaji maeneo zaidi.
Lakini hatahivyo akideclare vita atapigwa na kupata hasara kwasababu nchi nyingi kubwa zitaungana na US dhidi yake kuitetea Ukraine.
That's All kuhusu Urusi.
Huwezi kuwa superpower kama huna pesa hata Kama unayo manyuklia.Utajiri wa Jimbo Moja la US, California,ni zaidi ya utajiri wote wa Russia .Putin anataka kuwarudisha warusi kama enzi zile za kulipwa mikate na vodka badala ya mshahara.Sababu ya vikwazo baada ya muda hao wanajeshi watashindwa kulipwa mishahara.Vita sio silaha tu bali inatakiwa pamoja na fedha!RUSSIA haijawahi kuridhika na suala la USA kuwa Superpower that Conguer the world pamoja na washirika wake wa karibu hasa UK na France.
Us hawezi kumpiga mrusi wewe kijana,Urusi wanamiliki asilimia 15 ya silaha za nyuklia zote zinazopatikana duniani atamchapa mmarekani kama mtoto,hata hivyo US hawezi kuanzisha vita.Kuextend eneo lake zaidi
Yaani kwa kifupi ni kwamba RUSSIA inaamini kuwa UKRAINE ni himaya yake, na sio Ukraine tu ni pamoja na nchi zingine za jirani.
Historically, Russia ilishakuwa Superpower katika dunia hii as USSR, na ingawa sasahivi ndio Nchi yenye eneo kubwa zaidi duniani, wakati ule ilikuwa na eneo kubwa karibu mara tatu au zaidi ya eneo la sasa na RUSSIA haijawahi kuridhika na suala la USA kuwa Superpower that Conguer the world pamoja na washirika wake wa karibu hasa UK na France.
Russia wana high technology kwenye mambo ya silaha na technic na pia ni nchi yenye historia na uzoefu wa vita tangu zamani.
Wanajiamini na wanataka dola yao ya zamani itambulike...walianza zamani conquering tangu enzi za kina Tsar Alexis, Peter the Great na wengine...kipindi cha Byzantine empire, Russian empire n.k
Kwa hiyo kikubwa ni kutaka kuonesha ubabe kwa nchi zingine na pia wanahitaji maeneo zaidi.
Lakini hatahivyo akideclare vita atapigwa na kupata hasara kwasababu nchi nyingi kubwa zitaungana na US dhidi yake kuitetea Ukraine.
That's All kuhusu Urusi.
Jidanganye.Urusi anasilaha Kali kuliko NATOPutin atapigwa hataamini. Hata uwezo wa kupigana vita mrefu kwa sababu ya uchumi mbovu. Leo UK rasmi imesema Ukraine ikishambuliwa wataisaidia kupiga adaui wako. NATO nzima na USA wako nyuma ya Ukraine.
Putin kajeuri alaf kashali katapigwa.
Troops ya watu 160000 kuwalipa ili wapigane mda mrefu hana. Kama alivyosema Mzee Mzima TRUMP walivyokuwa anaonga hela taleban wanajisalimisha. Jeshi la Putini akiosa mkwanja Biden anaweza akatembeza mkwanja vikosi vya mshikaji vikawa vinajisallimia ovyo na hivyo mbabe akapoteza game na kumuondoa madarakani.
Waziri wa mambo ya nje wa USA Anton Blankin amesema Vita kamilli itaanza leo ucku. Prutin atalianzia leo. Tusubili atapigwa na china alioenda wk 3 ziilizoppiita kuomba msaada.
Silaha kali za tekinnooloojia ya kisasa zitatumika. Ataisoma namba huyo mbabe P
CCM hawataki. Wako tayari kulinda vamizi lao la Zanzibar kwa gharama yoyoteKwanini Zanzibar hamtaki kujitoa?
Basi atakuwa amerejea Bongo, enzi za Dr. Shika, alikuwa kule.Juzi kati hapa si alikuwa kwa kiduku
Ova
Acha kupotosha. Kwanza Tanganyika haipo tena, pili hata ingekuwepo ulinzi wake siyo wajibu wa Zanzibar. Kama mnaogopa kudhoofishwa tumieni akili, imarisheni jeshi lenu la ulinzi na siyo kuvamia nchi jirani kama Zanzibar. Kufanya hivyo ni kwenda kinyume na UN charter.Ila sura ya pili Ni ya kimgogolo wa ulinzi, yaan ngoja nikupe mfan rahis, Ni sawa na Tanzania, yenye nchi 2, leo hii zijitenge kila mmoja awe kivyake, atakae faidika Sana na upande wake Ni zanziba, maana kuna nchi watataka kuitumia zanziba kwa masilahi yao, ili kuidhoofisha tanganyika, na kwa kulijua hlo tanganyika itafanya kila liwezalo kujirida hata ikiwezekana kwa Vita, nmesema tu mfano,
Sababu ni USA na NatoSababu ya kuishambulia Ukraine ni nini?
Mzungu wa marekani ana akili nyingi mara elfu kuliko mzungu wa urusi.Mmarekani kua mbabe miaka yote hiyo uku mrusi akifyata nikwasababu mmarekani anajua alichomzidi mrusi.ndo maana unaona mrusi ameanza kwanza kupiga mkwara.hiyo yote nikwasababu anamwofia mmarekani asiingilie ugomvi wake.Na nakwambia marekani ikitoea ana maslahi makubwa ukrein tegemea mrusi kupoteza vibaya kwenye hiyo vita na ndo kitakua kufo cha putin.Us hawezi kumpiga mrusi wewe kijana,Urusi wanamiliki asilimia 15 ya silaha za nyuklia zote zinazopatikana duniani atamchapa mmarekani kama mtoto,hata hivyo US hawezi kuanzisha vita.
Hii niile tunaita mikwara.Huyu jamaa anaenda kwenye hiyo vita uku akiogopa kua wajinga wakimarekani wakiamua kumshughulikia achomoki ndo maana kaanza kwa mikwara.kwa jinsi putin alivyo na kiburi angekua anajiamini kwa asilimia 100 angeamka tu nakuivamia ukrein bila kutoa kauli yoyote ya tahadhari kwawale anaojua ni wababe kwake.Hila huyu Putin huyu🥲View attachment 2129712
China inauchungu na USA kwa sababu ya Kuwait sorry ni Taiwan siyo kuwait[emoji1787], [emoji1787][emoji1787][emoji1787]anasubiri USA aingie vitani ili iwe one chance, wachina wanavamia taiwani na kuichukua na vita vitakua usa + nato vs china + russiaMrusi ana saport ya China na Korea ikiwa marekani ataingia patachimbika
Putin alikuwa ni kichwa ila sasa anazeeka vibaya. Ukraine wameshapewa silaha na nchi za magharibi. Watu wa Ukraine wameshaanza kuua majeshi ya vamizi ya Putin. Warusi wakianza kuona vijana wao wanarudi nyumbani kwenye majeneza watamgeukia Putin. Halafu matajiri wa Russia (Russian Oligarchs) mali zao wanazomiliki London na kwengine ulaya zinawekewa vikwazo. Na hao Oligarchs wakimgeuka Putin, atapata taabu sana.😄 huyu apewe Tanzania bure…. Tunahitaji vichwa km hv
Kwani raisi wa tanzania ni nani ? Si mzanzibar kwanini msijitenge maana kama kweli mlivamiwa sasa fursa si sasa , msiwe kama makahaba wanadai kubakwa wakati awataki kutoka kwenye mkunyenge huku mnaukatikia mauno ila midomoni mnasema mnabakwaAnachofanya Putin kule Ukraine ni kama Nyerere alivyofanya Zanzibar, vamizi. Kwa bahati nzuri Ukraine wamepewa silaha na nchi za magharibi kwa hiyo wanaweza kupambana na Putin na vamizi lake. Wazanzibari walikuwa hawana silaha maana kilikuwa ni kisiwa cha amani na utulivu halafu mkoloni Mwingereza aliwanyang'anya silaha Wazanzibari wote kwa hiyo wakashindwa kupambana na vamizi la Nyerere.