Watanzania wameyakataa kabisa majiko ya umeme, hivi ni ujinga au ushamba?

Tanesco's Motto.
Use electricity at your own risk.
 
Tanesco's Motto.
Use electricity at your own risk.
Electricity they supply should be safe and up to standard..

Ingawa mara nyingi vitu vikiungua ni ngumu kuwashitaki sababu unakuta watu ule mchoro wanaowapelekea wakati wanavuta umeme na vyombo, plug zilizopo unakuta mtu ameshabadilisha mambo kibao..., ndio maana nchi nyingine unakuta mtu ana insurance na kila kitu cha umeme akinunua lazima kiwe quality checked fundi anayeleta lazima awe certified otherwise ana fortify insurance...

Lakini back to the point hilo la kwenu ni tatizo na ukienda mwenyewe itakuwa ngumu kusanya majirani zako wote wenye hilo tatizo andikeni barua na mpitie kwa Diwani wenu ili yeye ndio akawawakilishe huko Tanesco na kila barua mnayoandika iwe copied for future reference (kwamba huu ni mwaka wa kumi bado tunahangaika)

By the way unaweza kuanza na hawa wa humu TANESCO
 
Kama unanunua unit moja ya umeme kwa zaid ya Tsh 121.62 ni bora kutumia gas ndio nafuu
 
Habari Mkuu!

Samahani, nipo nje ya mada, inbox sinafanikiwa kujipata.. Naitaji msaada maswala ya kuship kutokea USA.. shukrani. Mwl.RCT
 
Kwani jamani mshamba si mtu? Kwa nini mnawadharau wanaoishi shamba? Bila ya washamba huko mjini kwenu mtanunua chakula gani? Hivi kwa kuwa wenzenu wanaishi shamba ndio hawajui lolote na sio werevu? Come on!
 
Viongozi ni devil's in white clothes
 
aina ya vyakula wanavotumia watanzania wengi havipo friendly na majiko ya umeme.. unawezaje kupika ugali wa muhogo kwenye induction cooker??!
 
Jiko efficiency ni kuanzia laki 4
 
Ni vitu vya kitaalamu mkuu unadhani kujua watts zinamaanisha nini zilizoandikwa kwenye vitu vya umeme ni kazi ndogo..
Mkuu hapo msanzi ukinunua vitu kama majiko hayo ya induction, rotate chair n.k hivyo pale custom Tunduma kodi zinakuwa kubwa sana kama vitu ni vipya au ikoje
 
Hili jambo la umeme kupungua ni kweli niliweka fridge guard sasa ikifika saa 12 jion inaacha kuwaka kijani inawaka taa nyekundu ila ikifika mda wa saa tano inawaka kijani na mda huo maana yake fridge aipati umeme lakini pia siku za wikiendi hali iko hivyo
 
Wengi wanalalamika majiko ya umeme yanapika taratibu ( moto wake sio instant kama gesi). Utakuta mtu ana jiko la gesi lina option ya umeme lakini haitumii. Binafsi sijajaribu.
 
Sasa kwa hsli hiyo unawezsje kupikia jiko la umeme? Tatizo hapa naona kuwa aliyeleta mada hana jiko la umeme hivyo hajui matatizo ya kikatika katika umeme na upungufu wake, na kisha snanishauri niwaambie Tanesco sijui waniwekee transfoma yangu peke yangu mtaani!
 
Wengi wanalalamika majiko ya umeme yanapika taratibu ( moto wake sio instant kama gesi). Utakuta mtu ana jiko la gesi lina option ya umeme lakini haitumii. Binafsi sijajaribu.
Kupika taratibu kunatokana na kutopata umeme kiwango kinachotakiwa, yaani voti 230/240.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…