Amount: 3,000.00Kwa sasa Tanesco wanachaji 1kWh kwa Tshs 100-290 kwa wateja wa kawaida
Bado kuna unafuu kuliko gasAmount: 3,000.00
8.4KWH
Cost 2,459.02
VAT 18% 442.62
EWURA 1% 24.59
REA 3% 73.77
TOTAL 3,000.00
NB: Hiyo cost ya kWh uliyoipigia hesabu haina VAT, EWURA na REA. Bei halisi ya 1kWh ni sh. 357 hivi
Tunaenda kwa mkumbo Mkuu!Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?
Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?
Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
Kuna majiko ya single burner yana 1000 watt
1000 watt ni sawa na 1kWh kwa saa
Tuseme kwa kadirio la juu unatumia jiko kwa masaa 2 kila siku yaani 2kWh
Kwa siku 30 za mwezi utakuwa umetumia 60kWh
Kwa sasa Tanesco wanachaji 1kWh kwa Tshs 100-290 kwa wateja wa kawaida
60kWh×Tshs 290 unapata 18,000/=
Kwa mwezi unaweza kutumia gesi ya shilingi ngapi?
Yuko sahihi!Amount: 3,000.00
8.4KWH
Cost 2,459.02
VAT 18% 442.62
EWURA 1% 24.59
REA 3% 73.77
TOTAL 3,000.00
NB: Hiyo cost ya kWh uliyoipigia hesabu haina VAT, EWURA na REA. Bei halisi ya 1kWh ni sh. 357 hivi
Kwamba unit moja ya umeme inauzwa sh. 290/= ?Yuko sahihi!
Ndio mkuu mia Tano unapata 1.8Kwamba unit moja ya umeme inauzwa sh. 290/= ?
Ukimaanisha?I think it's a reason capacity Most Tanzanians
Dhana ya majiko ya umeme iliingizwa vibaya miaka mingi iliyopita, yalionekana yanakula umeme sana.
Hivi inakuwaje baada ya bwawa kukamilika na bei ndo inazidi kuchangamkaTanesco unawajua unawasikia, bei ya unit ingekua rafiki maisha yangekua simple. Umeme wa 30k hazifiki hata unit 100
Unatumia meter ya wateja wa kundi gani?Tanesco unawajua unawasikia, bei ya unit ingekua rafiki maisha yangekua simple. Umeme wa 30k hazifiki hata unit 100
Tariff 4, maana tariff 0ne limit ni unit 75 kwa mweziUnatumia meter ya wateja wa kundi gani?
Na bado tunanunua umeme njeHivi inakuwaje baada ya bwawa kukamilika na bei ndo inazidi kuchangamka
Haujajibu swali kwanzaTariff 4, maana tariff 0ne limit ni unit 75 kwa mwezi
MajumbaniUnatumia meter ya wateja wa kundi gani?
Unit moja shilingi ngapi?Majumbani
Hizi unit zinaendana na tariffUnit moja shilingi ngapi?
Hizi unit zinaendana na tariff
Tariff 1 bei yake ni tofauti ambapo ni kwa watu wenye matumizi yasiyozidi unit 75 bei ya unit 1 haifiki 120
Tariff 4 ipo kwa wenye matumizi ya wenye matumizi ya unit zaidi ya 75 hii ina range kwenye shilingi 350