DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Sasa Hiyo ni kwa Mujibu wa Nini?DR.
Mungu ni nini? Au Mungu maana yake ni nini?
Ebu nieleze wewe unaejua mkuu🤔Min - me.
Naomba kukuuliza.
Mungu maana yake ni nini?
Biblia ni nini?
Inaumiza.Hata muombe vipi majanga yapo na yataendelea kuwepo
Wanasemaga pesa na kila kitu ni mali ya MunguTunaenda kanisani kumuomba Mungu Hela alafu humo humo kanisani tunaambiwa tumtolee Mungu hela WE HUOGOPIII
Hakuna cha code bhana. Watu ni lazima wamshukuru Allah kwa kila kitu. Hivi ndivyo tunavyofundishwa Waislam. Na hatuachi kumuomba Allah katika hali zote. Dua kwetu ni 'Ibada.Kuna code ngumu sana kuelewa pale kwenye andiko.
Na ndio maana tunamshukuru Allah kwa neema zake kwetu na kwa kila kitu tukijua kuwa kuna hikma katika kila aliloliqadiria. Na hatuachi kuomba kheri kutoka kwake. Watu wanamshukuru Allah na kumtukuza, wewe unaumizwa na nini?Sisi waafrika tumepewa mambo mengi na mwenyeezi Mungu ila kwa sababu ya giza lililopo kichwani tumeshindwa kuona mwanga.
Kumkumbuka Allah na kumtaja ni katika sifa njema za waumini. Ni katika sifa nzuri kwetu Waislam. Kumtaja sana Allah na kumkumbuka ni sifa nzuri kwetu Waislam.Bado kumtajataja sana Mola kila eneo/sehemu siyo ishara ya wema au kwenda peponi, wala haisaidii chochote kwake.
Waafrika dini zimetulevya sana kuliko vile tunavyotakiwa kuiendea hiyo dini.
Mfano mdogo; Kama Japan wangekuwa kama wewe, ile nchi isingekuwepo, kila wkt majanga ya matetemeko ila kwa sababu ya kutumia akili wanapata taarifa kabla tetemeko halijatokea.
Unaweza kuandika Kiswahili kilochonyooka tu bila kuchanganya na Kiarabu kingi hivi.Hakuna cha code bhana. Watu ni lazima wamshukuru Allah kwa kila kitu. Hivi ndivyo tunavyofundishwa Waislam. Na hatuachi kumuomba Allah katika hali zote. Dua kwetu ni 'Ibada.
Na ndio maana tunamshukuru Allah kwa neema zake kwetu na kwa kila kitu tukijua kuwa kuna hikma katika kila aliloliqadiria. Na hatuachi kuomba kheri kutoka kwake. Watu wanamshukuru Allah na kumtukuza, wewe unaumizwa na nini?
Kumkumbuka Allah na kumtaja ni katika sifa njema za waumini. Ni katika sifa nzuri kwetu Waislam. Kumtaja sana Allah na kumkumbuka ni sifa nzuri kwetu Waislam.
"Na kwa yakini kumdhukuru Mwenyezi Mungu ndilo jambo kubwa kabisa"
(Qur'an 29:45)
"na mkumbukeni Mwenyezi Mungu kwa wingi ili mpate kufanikiwa."
( Qur'an 62:10)
"na wanao mdhukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi wanaume na wanawake, Mwenyezi Mungu amewaandalia msamaha na ujira mkubwa."
(Qur'an 33:35)
41. Enyi mlio amini! Mdhukuruni Mwenyezi Mungu kwa wingi wa kumdhukuru.
42. Na mtakaseni asubuhi na jioni.
(Qur'an 33:41-42)
Kuna dhikr na kumkumbuka Allah kulikothibiti katika kila mnasaba. Ikiwemo kwenye msiba.
Na Dua ni ibada kwetu Waislam.
And yes, kumdhukuru Allah kwa wingi ni katika sababu ya kufanikiwa na kuingia Peponi. Allah atuingize katika Pepo yake.
Na unaposema haisaidii chochote kwa Allah tunapomkumbuka na kumtaja sio kweli.
152 from Surah Al-Baqarah
﴿فَاذْكُرُونِي أَذْكُرْكُمْ وَاشْكُرُوا لِي وَلَا تَكْفُرُونِ﴾
[ البقرة: 152]
Basi nikumbukeni nitakukumbukeni, na nishukuruni wala msinikufuru
Hivyo usimzungumzie Allah bila elimu.
Hatuachi kumdhukuru Mola wetu. Allah atuweke katika kundi la WachaMungu na atufishe katika Tawheed na Sunnah.
Mimi siwaangalii Wajapan, naangalia Mola wangu kaniamrisha nini. Kama wajapan hawamshukuru Allah kwa neema alizowapa na hawamdhukuru na wala kumuabudu Yeye peke yake bila ya kumshirikisha na chochote, ni tatizo kwao na ninasikitika kwa hilo. Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam na Sunnah na ninamuomba Allah anifishe katika Uislam. Aameen. Namuomba pia azidi kuueneza Uislam katika ardhi ya wajapan. Aameen.
Allah atawanusuru tu ndugu zetu. Huko kumkumbuka kwao Allah ni bora zaidi laiti kama ungejua. Mitihani hiyo inayowapata kisha wanavyokuwa na subra na kutaraji malipo kutoka kwa Allah na kumkumbuka Yeye na wakawa hawakati tamaa na rehma za Allah na hawamdhanii dhana mbaya basi watakuja kulipwa na Mola wao.Wapalestina kila siku Allah,Allah,Allah je mabomu ya Israel yamekoma ? wameacha kuuawa ?
Hakuna mabadiliko yoyote.
Maombi hayatatuhi shida za kiuchumi, hayalipi Kodi, school feez,hayaleti ubunifu wowote, ingekuwa maombi yana maana saaana, yule pastor wa Agape, angemfsnya kijana wake, Fernandez awe pastor, lakini akampleleka ulaya, kapiga shule, ni software engineer, boss wa NALA, anapiga pesa, aliwahi kuja Udsm kuomba atoe elimu kwa wanafunzi, ma professor wa majalalani wakaogopa!Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya maneno(Maombi, Mungu, Allah, Ya Rabbi, Alhamdulillah na Yesu)
Hakika Watanzania dini imewakaa, ni viumbe wa kidini, bila dini na mungu sidhani kama wana tumaini lolote au muelekeo wowote wa maisha.
Kubali kataa, hizi dini zetu ni addiction flani hivi ni ulevi kama ulevi mwingine.Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya maneno(Maombi, Mungu, Allah, Ya Rabbi, Alhamdulillah na Yesu)
Hakika Watanzania dini imewakaa, ni viumbe wa kidini, bila dini na mungu sidhani kama wana tumaini lolote au muelekeo wowote wa maisha.
Hakijawahi kuzoelekaKifo ni rafiki wetu wakudumu ,sema ndio hvyo hakizoeleki......
Hahahaha binadamu bhanaWabongo bhana wana imani na hizi dini kuliko hata waliozileta
Tatizo kubwa la watu wengi hapa Jamii Forum wanaobishana juu ya Mungu: wale wanaokana Mungu au wanaokubali Mungu wana tatizo la kuelewa neno Mungu maana yake ni nini.Sasa Hiyo ni kwa Mujibu wa Nini?
Kwa mujibu wa Dictionary Mungu ni yule anayehesabika Kuwa na Nguvu kuliko wengine na wengine wanamuomba Yeye ili awape wanachohitaji