Watanzania wana bidii ya maombi sana, bila dhana ya Mungu watakosa maana ya maisha kabisa

Watanzania wana bidii ya maombi sana, bila dhana ya Mungu watakosa maana ya maisha kabisa

DR.

Mungu ni nini? Au Mungu maana yake ni nini?
Sasa Hiyo ni kwa Mujibu wa Nini?
Kwa mujibu wa Dictionary Mungu ni yule anayehesabika Kuwa na Nguvu kuliko wengine na wengine wanamuomba Yeye ili awape wanachohitaji
 
Dini zipo mdomoni tu lakini "....Moyo ni kama Watu....."

Wanafiki sana, wafitini, majizi, wauaji, mafuksa sana tu. Yaani mambo yote ya gizani ni wabaya sana. Ushirikina na husda zimejaa sana.
 
Lazima ufanye na iwe...utaomba Hadi kiama lakini itabaki vile vile Ili basi ibadilike lazima ufanye jambo liwe.
 
Samehe saba mara sabini ila yeye kashindwa kuwasamehe wakina ADAM na EVA walivyokula tunda(aple) moja tu tena walimegeana WE KUWEZA?
 
Kazinguana la li shetani huko walipokuwa nalo eti Kalitupia Duniani kwa watoto wake wapendwa(binadam) yaani mbwa kichaa ambalo nalifuga mwenyewe limekosakosa kuniuma then nalifungia chumba kimoja na watoto wangu alafu waking'atwa nakuja nimepanic na kushangaa DINI HIZI JAMANI?
 
Watanzania tunapendana Sana. Imagine watu wa kawaida kbx ndo walikua wa Kwanza kusaidia kuokoa.
 
Kuna code ngumu sana kuelewa pale kwenye andiko.
Hakuna cha code bhana. Watu ni lazima wamshukuru Allah kwa kila kitu. Hivi ndivyo tunavyofundishwa Waislam. Na hatuachi kumuomba Allah katika hali zote. Dua kwetu ni 'Ibada.
Sisi waafrika tumepewa mambo mengi na mwenyeezi Mungu ila kwa sababu ya giza lililopo kichwani tumeshindwa kuona mwanga.
Na ndio maana tunamshukuru Allah kwa neema zake kwetu na kwa kila kitu tukijua kuwa kuna hikma katika kila aliloliqadiria. Na hatuachi kuomba kheri kutoka kwake. Watu wanamshukuru Allah na kumtukuza, wewe unaumizwa na nini?
Bado kumtajataja sana Mola kila eneo/sehemu siyo ishara ya wema au kwenda peponi, wala haisaidii chochote kwake.
Kumkumbuka Allah na kumtaja ni katika sifa njema za waumini. Ni katika sifa nzuri kwetu Waislam. Kumtaja sana Allah na kumkumbuka ni sifa nzuri kwetu Waislam.

"Na kwa yakini kumdhukuru Mwenyezi Mungu ndilo jambo kubwa kabisa"
(Qur'an 29:45)

"na mkumbukeni Mwenyezi Mungu kwa wingi ili mpate kufanikiwa."
( Qur'an 62:10)

"na wanao mdhukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi wanaume na wanawake, Mwenyezi Mungu amewaandalia msamaha na ujira mkubwa."
(Qur'an 33:35)

41. Enyi mlio amini! Mdhukuruni Mwenyezi Mungu kwa wingi wa kumdhukuru.

42. Na mtakaseni asubuhi na jioni.
(Qur'an 33:41-42)

Kuna dhikr na kumkumbuka Allah kulikothibiti katika kila mnasaba. Ikiwemo kwenye msiba.

Na Dua ni ibada kwetu Waislam.

And yes, kumdhukuru Allah kwa wingi ni katika sababu ya kufanikiwa na kuingia Peponi. Allah atuingize katika Pepo yake.

Na unaposema haisaidii chochote kwa Allah tunapomkumbuka na kumtaja sio kweli.

152 from Surah Al-Baqarah
﴿فَاذْكُرُونِي أَذْكُرْكُمْ وَاشْكُرُوا لِي وَلَا تَكْفُرُونِ﴾
[ البقرة: 152]

Basi nikumbukeni nitakukumbukeni, na nishukuruni wala msinikufuru

Hivyo usimzungumzie Allah bila elimu.

Waafrika dini zimetulevya sana kuliko vile tunavyotakiwa kuiendea hiyo dini.

Hatuachi kumdhukuru Mola wetu. Allah atuweke katika kundi la WachaMungu na atufishe katika Tawheed na Sunnah.

Mfano mdogo; Kama Japan wangekuwa kama wewe, ile nchi isingekuwepo, kila wkt majanga ya matetemeko ila kwa sababu ya kutumia akili wanapata taarifa kabla tetemeko halijatokea.

Mimi siwaangalii Wajapan, naangalia Mola wangu kaniamrisha nini. Kama wajapan hawamshukuru Allah kwa neema alizowapa na hawamdhukuru na wala kumuabudu Yeye peke yake bila ya kumshirikisha na chochote, ni tatizo kwao na ninasikitika kwa hilo. Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam na Sunnah na ninamuomba Allah anifishe katika Uislam. Aameen. Namuomba pia azidi kuueneza Uislam katika ardhi ya wajapan. Aameen.
 
Hakuna cha code bhana. Watu ni lazima wamshukuru Allah kwa kila kitu. Hivi ndivyo tunavyofundishwa Waislam. Na hatuachi kumuomba Allah katika hali zote. Dua kwetu ni 'Ibada.

Na ndio maana tunamshukuru Allah kwa neema zake kwetu na kwa kila kitu tukijua kuwa kuna hikma katika kila aliloliqadiria. Na hatuachi kuomba kheri kutoka kwake. Watu wanamshukuru Allah na kumtukuza, wewe unaumizwa na nini?

Kumkumbuka Allah na kumtaja ni katika sifa njema za waumini. Ni katika sifa nzuri kwetu Waislam. Kumtaja sana Allah na kumkumbuka ni sifa nzuri kwetu Waislam.

"Na kwa yakini kumdhukuru Mwenyezi Mungu ndilo jambo kubwa kabisa"
(Qur'an 29:45)

"na mkumbukeni Mwenyezi Mungu kwa wingi ili mpate kufanikiwa."
( Qur'an 62:10)

"na wanao mdhukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi wanaume na wanawake, Mwenyezi Mungu amewaandalia msamaha na ujira mkubwa."
(Qur'an 33:35)

41. Enyi mlio amini! Mdhukuruni Mwenyezi Mungu kwa wingi wa kumdhukuru.

42. Na mtakaseni asubuhi na jioni.
(Qur'an 33:41-42)

Kuna dhikr na kumkumbuka Allah kulikothibiti katika kila mnasaba. Ikiwemo kwenye msiba.

Na Dua ni ibada kwetu Waislam.

And yes, kumdhukuru Allah kwa wingi ni katika sababu ya kufanikiwa na kuingia Peponi. Allah atuingize katika Pepo yake.

Na unaposema haisaidii chochote kwa Allah tunapomkumbuka na kumtaja sio kweli.

152 from Surah Al-Baqarah
﴿فَاذْكُرُونِي أَذْكُرْكُمْ وَاشْكُرُوا لِي وَلَا تَكْفُرُونِ﴾
[ البقرة: 152]

Basi nikumbukeni nitakukumbukeni, na nishukuruni wala msinikufuru

Hivyo usimzungumzie Allah bila elimu.

Hatuachi kumdhukuru Mola wetu. Allah atuweke katika kundi la WachaMungu na atufishe katika Tawheed na Sunnah.

Mimi siwaangalii Wajapan, naangalia Mola wangu kaniamrisha nini. Kama wajapan hawamshukuru Allah kwa neema alizowapa na hawamdhukuru na wala kumuabudu Yeye peke yake bila ya kumshirikisha na chochote, ni tatizo kwao na ninasikitika kwa hilo. Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam na Sunnah na ninamuomba Allah anifishe katika Uislam. Aameen. Namuomba pia azidi kuueneza Uislam katika ardhi ya wajapan. Aameen.
Unaweza kuandika Kiswahili kilochonyooka tu bila kuchanganya na Kiarabu kingi hivi.
 
Wapalestina kila siku Allah,Allah,Allah je mabomu ya Israel yamekoma ? wameacha kuuawa ?

Hakuna mabadiliko yoyote.
Allah atawanusuru tu ndugu zetu. Huko kumkumbuka kwao Allah ni bora zaidi laiti kama ungejua. Mitihani hiyo inayowapata kisha wanavyokuwa na subra na kutaraji malipo kutoka kwa Allah na kumkumbuka Yeye na wakawa hawakati tamaa na rehma za Allah na hawamdhanii dhana mbaya basi watakuja kulipwa na Mola wao.

Huwezi kufananisha na wanaojifanya kumpinga Mola Mlezi wa viumbe vyote, wanapopatwa na matatizo wanakuwa devastated mno kwa sababu ya kule kuwa kwao mbali na Allah.

Ndio maana ukakuta kuna kundi kubwa la watu wanaishangaa resilience ya wapalestina. Mtu anapigwa mabomu lakini bado anamshukuru Allah na kumtukuza! Hili ni ajabu kwa baadhi ya watu ambao mitihani kidogo tu hiyo depression sio ya nchi hii, mara kashaanza kutumia pombe kali na madawa. Wanawashangaa wapalestina ile resilience yao na kujaribu kuangalia sababu yake ni nini, mwisho mpaka baadhi yao wameongozwa katika Uislam. Na kuna waislam ambao walipuuza Dini yao wanarudi katika Dini yao.

Allah awasamehe na awanusuru ndugu zetu. Awasamehe na awarehemu maiti wao na kuwakubali kuwa mashahidi na awaponye majeruhi wao. Aameen.
 
Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya maneno(Maombi, Mungu, Allah, Ya Rabbi, Alhamdulillah na Yesu)

Hakika Watanzania dini imewakaa, ni viumbe wa kidini, bila dini na mungu sidhani kama wana tumaini lolote au muelekeo wowote wa maisha.
Maombi hayatatuhi shida za kiuchumi, hayalipi Kodi, school feez,hayaleti ubunifu wowote, ingekuwa maombi yana maana saaana, yule pastor wa Agape, angemfsnya kijana wake, Fernandez awe pastor, lakini akampleleka ulaya, kapiga shule, ni software engineer, boss wa NALA, anapiga pesa, aliwahi kuja Udsm kuomba atoe elimu kwa wanafunzi, ma professor wa majalalani wakaogopa!
 
Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya maneno(Maombi, Mungu, Allah, Ya Rabbi, Alhamdulillah na Yesu)

Hakika Watanzania dini imewakaa, ni viumbe wa kidini, bila dini na mungu sidhani kama wana tumaini lolote au muelekeo wowote wa maisha.
Kubali kataa, hizi dini zetu ni addiction flani hivi ni ulevi kama ulevi mwingine.
Ni ulevi unatupa faraja kwenye nyakati ngumu.
 
Sasa Hiyo ni kwa Mujibu wa Nini?
Kwa mujibu wa Dictionary Mungu ni yule anayehesabika Kuwa na Nguvu kuliko wengine na wengine wanamuomba Yeye ili awape wanachohitaji
Tatizo kubwa la watu wengi hapa Jamii Forum wanaobishana juu ya Mungu: wale wanaokana Mungu au wanaokubali Mungu wana tatizo la kuelewa neno Mungu maana yake ni nini.

Baba au mama anaweza kuwa na nguvu kuliko mtoto. Mfalme au Rais anaweza kuwa na nguvu kuliko raia wengine.

Watoto wanawaomba wazazi wao mahitaji. Hapa Tanzania raia wanamwomba Rais awapatie huduma. Hawa tuwahesabu kuwa ni Mungu?
 
Back
Top Bottom