Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Mzee we ndyo mpumbavu wa wapumbavu jamaa kajenga hoja kaleta na wewe jenga hoja yako mjibu kwa hoja na si kutukana mak* wewe
Maku aliyekuzaa na ñdipo ulipitia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee we ndyo mpumbavu wa wapumbavu jamaa kajenga hoja kaleta na wewe jenga hoja yako mjibu kwa hoja na si kutukana mak* wewe
Tayari wamemaliza kufukuliwa wote hapo kwenye hicho kifusi?Juhudi zinafanyika kwa yaliyo ndani ya uwezo wetu na kumuomba Allah hatuachi.
Au uliona watu wamekaa tu?
Mleta mada ni kama anaumia Mola kutajwa na kusifiwa.
Allah atatukuzwa tu katika hali zote. Sifa zote njema zinamstahiki Allah. Aliye Mmoja tu hana mshirika.
Nasikia kuna watu bado wamefukiwa kwenye kifusi, jitahidini kuongeza maombi waweze kufukuliwa, lakini zaidi sana mfanye maombi watawala waboreshe huduma za uokozi na usimamizi wa ujenzi na mipango miji.
Fanyeni maombi kwa haya pia ndio ya muhimu zaidi.
Wachina na Watanzania watu gani maisha yao hayafai ?Maisha Bila Mungu hayafai kitu Yoda
Ukiwa Mpumbavu Huwezi elewa haya Mambo.
Na Moja ya Sifa ya Mpumbavu ni upumbavu usiojificha na kujifanya, kuwaza, kusema Hakuna Mungu au kutomtegemea Mungu.
Wachina na Watanzania watu gani maisha yao hayafai ?
Kuna code ngumu sana kuelewa pale kwenye andiko.Juhudi zinafanyika kwa yaliyo ndani ya uwezo wetu na kumuomba Allah hatuachi.
Au uliona watu wamekaa tu?
Mleta mada ni kama anaumia Mola kutajwa na kusifiwa.
Allah atatukuzwa tu katika hali zote. Sifa zote njema zinamstahiki Allah. Aliye Mmoja tu hana mshirika.
Kwa zaidi ya asilimia 60% hawana chochote wapo kama walivyo zaliwa.Kwani wachina Hawana mîungu Yao?
Kumbe maombi yana sheria zake!
Wababaishaji tu hakuna kitu.Upo sahihi watanzania ni watu wa imani sana
Swali: mbona nchi ambazo watu walishaacha kwenda makanisani na wengine hawaamini uwepo wa Mungu ndiyo zenye maisha mazuri na hizi nchi zetu zenye kila aina ya mitume na manabii na mikusanyiko yote ya viongozi inaanza na maombi ndiyo zenye unyama, ufisadi na shida zilizopitiliza?Maisha Bila Mungu hayafai kitu Yoda
Ukiwa Mpumbavu Huwezi elewa haya Mambo.
Na Moja ya Sifa ya Mpumbavu ni upumbavu usiojificha na kujifanya, kuwaza, kusema Hakuna Mungu au kutomtegemea Mungu.
Nakubali. Watu ni wanafiki na siyo wacha Mungu. Wanamkumbuka Mungu pale tu wanapokosa jinsi ya kufanya.Wababaishaji tu hakuna kitu.
Kwa zaidi ya asilimia 60% hawana chochote wapo kama walivyo zaliwa.
Wapalestina kila siku Allah,Allah,Allah je mabomu ya Israel yamekoma ? wameacha kuuawa ?Swali: mbona nchi ambazo watu walishaacha kwenda makanisani na wengine hawaamini uwepo wa Mungu ndiyo zenye maisha mazuri na hizi nchi zetu zenye kila aina ya mitume na manabii na mikusanyiko yote ya viongozi inaanza na maombi ndiyo zenye unyama, ufisadi na shida zilizopitiliza?
Ndugu yangu wee, sema, mimi nitaambiwa ni mpingaji. Unajenga ghorofa bila viwango na huna kikosi cha uokoaji halafu likidondoka Mungu ndiyo ''akufanyie wepesi''.Mtoa hoja ana point yenye code ukisoma kama gazeti la serikali unajaza server 😂!.
Ila ukweli hii issue ya dini imetulevya wengi sana, hata eneo ambalo tunatakiwa kutumia akili hii tuliyopewa na Maulana bado tunaweka dini.
Jambo baya sana hili, mwenyeezi Mungu alitupa mamlaka ya kutawala kila kitu duniani, lakini leo binadamu ndiye anatawaliwa na hivyo vitu, kalaghabao!.
Hapo kwenye jengo badala ya kufanya jitahihada kuokoa watu wanamuomba subhuanah/ Mola afanye wepesi wengine waokoke humo!, HAIWEZEKANI KAMWE, lazima wewe ndiye ukatoe msaada wa kumuokoa siyo Mungu aje kuokoa.
Yeye ashakupa mamlaka ya kufanya lolote mtu apone, unapomuacha afe basi unabeba jukumu la hukumu kwa kuua - note that!.
Swali: mbona nchi ambazo watu walishaacha kwenda makanisani na wengine hawaamini uwepo wa Mungu ndiyo zenye maisha mazuri na hizi nchi zetu zenye kila aina ya mitume na manabii na mikusanyiko yote ya viongozi inaanza na maombi ndiyo zenye unyama, ufisadi na shida zilizopitiliza?
Wapalestina kila siku Allah,Allah,Allah je mabomu ya Israel yamekoma ? wameacha kuuawa ?
Hakuna mabadiliko yoyote.
Wachina kutokuamini katika mungu hakujaa leo na hakujaanza juzi tu hapo ukatoliki ulipoanzaWachina Wana Amini katika Dini na mîungu wengi waô.
Wachache Sana ndîo hawaamini katika mîungu(atheists) na wengi waô ni wale weñye Elimu za magharibi na waliofungamana na ukatoliki
Jitahidini ambao bado wamefukiwa huko chini wafuate hizo sheria ili nao watoke salama kama wengine waliotoka hai.