Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Akili yako imeshindwa kuelewa nilicho andika sio kosa langu.Unaeleza mambo àmbayo Akili yako haiyaelewi Mkûu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili yako imeshindwa kuelewa nilicho andika sio kosa langu.Unaeleza mambo àmbayo Akili yako haiyaelewi Mkûu.
Tuanze hapa kabla ya kujibu haya maswali yako ya ajabu.
Age of enlightenment or age of reason unaifahamu ?
Akili yako imeshindwa kuelewa nilicho andika sio kosa langu.
Mungu ni neno uchwara mlilo jitungia vichwani mwenu ninyi watu wa dini na imani, Mnalo amini, lina uwezo wa kutenda yote na ndio muumbaji wa vyote.Wewe unapoelezea neno Mungu unalielewaje?
Mungu ni dhana uchwara inayo aminiwa na nyie watu wa imani pamoja na dini kwamba ndio muumbaji, mmiliki na mwendeshaji mkuu wa ulimwengu.Embu fafanua jinsi unavyoelewa dhana Mungu Kisha tujadili maswali uliyouliza.
Elimu ya kiroho ni nini?Maana siô ajabu haya dhana yenyewe huielewi na wengi wa atheists ambao hawana elimu ya kiroho ndipo hukwama
Hizo nchi zote ulizotaja kuanzia bara la Ulaya mpaka North America jibu lake linapatikana kwenye age of enlightenment labda kama hufahamu nini inamaanisha hio inakuwa sio shida yangu.Hizô nchi umeshindwa kuzitaja hata Moja tuu.
Kîla Zama kûna age of enlightenment or age of reasoning
Kama Mungu yupo kwa nini aliruhusu Ghorofa liwashukie waja wake? Au wote ni wazambi?Maisha Bila Mungu hayafai kitu Yoda
Ukiwa Mpumbavu Huwezi elewa haya Mambo.
Na Moja ya Sifa ya Mpumbavu ni upumbavu usiojificha na kujifanya, kuwaza, kusema Hakuna Mungu au kutomtegemea Mungu.
Mpumbavu pia Huamini uwepo wa Mungu.Mpumbavu haamini uwèpo wa Mungu
Kwani wasipo mkumbuka anapungukiwa nini?Asikudanganye mtu! Kwa hulka ya Mwanadamu katika hali ya kawaida huwa hamkumbuki Mungu.
Lakini kwenye kifo ndipo wakati Mwanadamu anamkumbuka Mungu.
Usidanganyike! Watu wana dini lakini hawana Mungu.
Wakati mwingine Mungu huachia mabaya kwa watu ili wamkumbuke na kumrudia.
Kwa nini unaona tunapaswa kuamini na sio kujua mkuu?Mpumbavu haamini uwèpo wa Mungu
Maombi huwa nahisi ni hamu ya miujiza itokee baada ya kukutana na kitu ambacho kimetuvuka uwezo kifikra na kukitatua.Hata muombe vipi majanga yapo na yataendelea kuwepo
Hapungukiwi na kitu ila sisi ndiyo tunapungukiwa.Kwani wasipo mkumbuka anapungukiwa nini?
Utachomwa moto shauri yako.Maombi huwa nahisi ni hamu ya miujiza itokee baada ya kukutana na kitu ambacho kimetuvuka uwezo kifikra na kukitatua.
Maombi yapo kwa ajili ya kujazana tumaini tu wala hayanaga vitendo vya live kwenye kusaidia mkwamo wa mtu ama situation.
MUNGU gani mpaka tumuambie(tumuombe) ndo afanye? Kwani hajui kama watoto wake watakuja kuangukiwa na ghorofa na je hajui kama wanafamilia wanatakiwa warudi kwao ila bado karuhusu wakwame kwenye kifusi wakati anajua kabisa rescue team yetu ilivyo?
Mkuu tuwekane sawa kwanza. Ni Mungu yupi tunayemjadili? Mungu wa waarabu au wazungu au wa kienyeji?Nimekuambia kwenda Kanisani au msikitini haimaanishi unaamini au hauamini Mungu.
Kwa nini unaona tunapaswa kuamini na sio kujua mkuu?
Tuna pungukiwa nini?Hapungukiwi na kitu ila sisi ndiyo tunapungukiwa.
Mkuu tuwekane sawa kwanza. Ni Mungu yupi tunayemjadili? Mungu wa waarabu au wazungu au wa kienyeji?
Mpumbavu pia Huamini uwepo wa Mungu.
Mungu hausiki na mabaya au uovu wowote, wala haruhusu uovu au mabaya yatokee.Wakati mwingine Mungu huachia mabaya kwa watu ili wamkumbuke na kumrudia