Watanzania wana bidii ya maombi sana, bila dhana ya Mungu watakosa maana ya maisha kabisa

Tayari wamemaliza kufukuliwa wote hapo kwenye hicho kifusi?
 

Wafanye Maombi Kwa Sheria Ipi?
Wewe kama hujui mambo ya kiroho ndîo unahangaika na mambo madogo yanayofanywa na weñye uelewa mdogo kwèñye hizô ishu.
 
Kuna code ngumu sana kuelewa pale kwenye andiko.

Sisi waafrika tumepewa mambo mengi na mwenyeezi Mungu ila kwa sababu ya giza lililopo kichwani tumeshindwa kuona mwanga.

Bado kumtajataja sana Mola kila eneo/sehemu siyo ishara ya wema au kwenda peponi, wala haisaidii chochote kwake.

Waafrika dini zimetulevya sana kuliko vile tunavyotakiwa kuiendea hiyo dini.

Mfano mdogo; Kama Japan wangekuwa kama wewe, ile nchi isingekuwepo, kila wkt majanga ya matetemeko ila kwa sababu ya kutumia akili wanapata taarifa kabla tetemeko halijatokea.

Elewa hiyo point!
 
Maisha Bila Mungu hayafai kitu Yoda

Ukiwa Mpumbavu Huwezi elewa haya Mambo.
Na Moja ya Sifa ya Mpumbavu ni upumbavu usiojificha na kujifanya, kuwaza, kusema Hakuna Mungu au kutomtegemea Mungu.
Swali: mbona nchi ambazo watu walishaacha kwenda makanisani na wengine hawaamini uwepo wa Mungu ndiyo zenye maisha mazuri na hizi nchi zetu zenye kila aina ya mitume na manabii na mikusanyiko yote ya viongozi inaanza na maombi ndiyo zenye unyama, ufisadi na shida zilizopitiliza?
 
Kwa zaidi ya asilimia 60% hawana chochote wapo kama walivyo zaliwa.

Wachina Wana Amini katika Dini na mîungu wengi waô.
Wachache Sana ndîo hawaamini katika mîungu(atheists) na wengi waô ni wale weñye Elimu za magharibi na waliofungamana na ukatoliki
 
Wapalestina kila siku Allah,Allah,Allah je mabomu ya Israel yamekoma ? wameacha kuuawa ?

Hakuna mabadiliko yoyote.
 
Ndugu yangu wee, sema, mimi nitaambiwa ni mpingaji. Unajenga ghorofa bila viwango na huna kikosi cha uokoaji halafu likidondoka Mungu ndiyo ''akufanyie wepesi''.
 

Nchi Ipi hizô Mkuu.

Kwenda Kanisani au kutokwenda Haimanishi Mtu haamini katika Miungu.

Nchi za Magharibi zimepata maendeleo Makubwa Sana Kwa kuamini uwepo wa Miungu.
Zimejengwa na wanaoamini katika Mîungu.

Ni Sawa na wachagga wa Zamani ndîo walikuwa kizazi Bora Kwa sababu waliamini katika mîungu tofauti na wachaga wa kileo.
 
Wachina Wana Amini katika Dini na mîungu wengi waô.
Wachache Sana ndîo hawaamini katika mîungu(atheists) na wengi waô ni wale weñye Elimu za magharibi na waliofungamana na ukatoliki
Wachina kutokuamini katika mungu hakujaa leo na hakujaanza juzi tu hapo ukatoliki ulipoanza

Wamekuwa wakiishi hivyo pasipo kuzingatia masuala hayo kwa muda mrefu hata kabla ya ukomunisti na serikali inayotambulika rasmi kuwa ni serikali rasmi inayoishi katika misingi ya ukana Mungu.

Ukatoliki China haujawabadili chochote ila wenyewe ndio wame umebadilisha mpaka papa na Kanisa kila siku wanalia lia kuhusu wachina na serikali yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…