DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Dolphin na Sokwe wana akili Kuzidi BinadamuTaja mnyama mmoja ambaye ubongo wake una akili kuliko ubongo wa binadamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dolphin na Sokwe wana akili Kuzidi BinadamuTaja mnyama mmoja ambaye ubongo wake una akili kuliko ubongo wa binadamu
Hahahahahaaaa tengeneza nchi yako kwanza achana na imani. Visadaka visikuchomoe roho mpendwa utajipotezea muda wako.Tuwafanyie maombi waache ufisadi, nyoko zako.
Tuna formupate Hypothesis kwa ajili ya Investigative purpose..Why do you formulate hypothesis?
Nini Dolphin na Sokwe katika historia ya kuwepo kwao wamefanya mathalani uvumbuzi na ugunduzi?Dolphin na Sokwe wana akili Kuzidi Binadamu
Uchunguzi au utafiti una mwisho au ni endelevu?Tuna formupate Hypothesis kwa ajili ya Investigative purpose..
Na Research au Studies ya Certain problems
Hujaeweka mkuu kwahiyo watu wasimwabudu Mungu??au wasiwe na tumain na Mungu wamtumain Nani?Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya maneno(Maombi, Mungu, Allah, Ya Rabbi, Alhamdulillah na Yesu)
Hakika Watanzania dini imewakaa, ni viumbe wa kidini, bila dini na mungu sidhani kama wana tumaini lolote au muelekeo wowote wa maisha.
Uchunguzi ja Utafiti Ni shughuli endelevuUchunguzi au utafiti una mwisho au ni endelevu?
Sijawahi Kuwa Dolphin au Sokwe Huenda Wamevumbua Vingi na wanavyo vingi vya Kujisifu na Kuambizana..Nini Dolphin na Sokwe katika historia ya kuwepo kwao wamefanya mathalani uvumbuzi na ugunduzi?
Kwa nini utafiti au uchunguzi ni shughuli endelevu?Uchunguzi ja Utafiti Ni shughuli endelevu
Mtu mwenye akili anatambuwa kwa akili uongo na ukweli, anajua jambo jema na baya.Sijawahi Kuwa Dolphin au Sokwe Huenda Wamevumbua Vingi na wanavyo vingi vya Kujisifu na Kuambizana..
Kuna Kitu ambacho tunajisahau wanadamu Kujiona Sisi Ni bora kuliko wanyama wengine bila Kujua Maisha yao hao wengine wanaishije..
Unafikiri Binadamu alihitaji Huo Ugunduzi ili kuwa Bora kuliko wengine??
Mhubiri 3:18-20
"18 Nikasema moyoni mwangu, Ni kwa sababu ya wanadamu, ili Mungu awajaribu, nao waone ya kuwa wao wenyewe wafanana na wanyama.
19 Kwa maana linalowatukia wanadamu linawatukia wanyama; jambo moja lawatukia; anavyokufa huyu ndivyo anavyokufa huyu; naam, wote wanayo pumzi moja; wala mwanadamu hana kitu cha kumpita mnyama; kwa maana yote ni ubatili.
20 Wote huendea mahali pamoja; wote hutoka katika mavumbi; na hata mavumbini hurudi tena."
Kwa sababu maisha Nayo hayako Static yako dynamic na matatizo huongezeka na Utatuzi ubadilikaKwa nini utafiti au uchunguzi ni shughuli endelevu?
Katika kuishi, na katika kutatua au kukabiliana na matatizo, yanahitajika maarifa zaidi ya kitu chochote.Kwa sababu maisha Nayo hayako Static yako dynamic na matatizo huongezeka na Utatuzi ubadilika
Hakuna Cha dini zetu, zilikuwa na kasoro, masharti kibao, Kuna kuchinja, wajawazito wasile mayai, matambiko ambayo Ni ibada za kishetani tu, kuchanja chale. Someni biblia mtagundua hata chanzo Cha imani hizo za dini za asiliIla wakoloni walikuwa mafundi sio tu kututawala na kutunyonya hata dini kiukweli wamejua kutupandikiza
I wish waafrica tungebaki na dini zetu
Hapa kuna mambo matatu...., Maombi ni kama confidence booster na stress removal ; Na hapa siongelei tu Mungu huyu aliyeletwa na hawa wakuja, bali hata mizimu ya mababu na Imani za asili.....;
Mbili kwahio mtu aliyepo Dodoma au huko Kijijini hana la kufanya zaidi ya kushirikia kwa kujiridhisha yeye kwamba anasaidia (be it msaada wake kwa hao hauna nguvu ila kwake huenda unamsaidia kuondoa Stress)
Mwisho kabisa kwa wahusika wanaotakiwa kuweka mambo sawa, au wale waliopo ground itakuwa ni kukosa maarifa na kutokuwa na ufanisi badala ya kuokoa watu na kupanga mikakati kupoteza hata dakika kumi kufanya maombi...., Kwa wanaotaka maombi au kufanya maombi wakafanye Kanisani hapo ground zifanyike shughuli practical na kwa watumishi wetu (Idara husika) zijaribu kuwa proactive ili kama ni uzembe usitokee tena...
Who cares kama ni nadra au hata yupo mmoja au wawili..., Sababu Imani ni Imani kwahio anayeamini hizi zilizokuja na Merikebu na anayeamini hizo za mababu zetu wote ni Imani tu... Na kama nilivyosema sababu hizi ni confidence booster hata ukiamini Chale au Hirizi uliyovaa vyote vitakusaidi kwa kukupa Confidence kuamini kwamba kuna Super Power inakusaidia (Sasa tukitaka tuangalie authenticity ya hizo imani..., that's a different ball game)Hebu nipe ufafanuzi wa "bali hata mizimu ya mababu na Imani za asili.....;" Maana Tanzania ya leo ni nadra sana kuona hao waumini wa mababu na mizimu ya asili....1