Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati?

Ulitaka tufanyeje maana per capita income ndiyo inayotumiwa kupima hizo nchi sasa ulitaka waseme siyo. Hata hizo nchi zilizoendelea nazo hupima hivyo hivyo.
Kwani amepinga au amefafanua nini maana ya kuingia katika kundi hilo na kueleza faida na hasa zake?
 
Hawa ni wachumia tumbo Rais Magufuli ameziba rushwa na ufisadi waliozoea kuiba ndio maana wanapiga kelele
Magufuli kaziba wapi? Trilion 1.5 mpaka kutomtoa CAG kafara walikula wachumia tumbo? Bilion 12 za Ndungai wamekula wachumia tumbo? 10% ununuzi wa Ndege wamekula wachumia tumbo?
 
Kwani amepinga au amefafanua nini maana ya kuingia katika kundi hilo na kueleza faida na hasa zake?
 
Jamaa ameishiwa. Amebaki kuwachota makamanda uchwara, kwa sababu hizi ndio lugha wanazozipenda.
 
CCM huwasingizia wapinzani kuwa hupinga kila kitu wakati wapinzani wapo kazini kwao kupinga uovu mapungufu mabaya ya CCM ni wajibu wao kikatiba na Sheria, cha ajabu CCM ndiyo wapingaji wa kila kitu cha upinzani hata wakiwafanyia udikiteta bado hupinga kuwa siyo udikiteta ni haki yao kuwabambikia kesi kuwafanyia unyanyasaji wapinzani, hakuna uchumi wa kati pasipo na haki za binadamu na demokrasia.
 
Jamaa ameishiwa. Amebaki kuwachota makamanda uchwara, kwa sababu hizi ndio lugha wanazozipenda.
Ameishiwa nini? Uchumi wa kati upo kweli? Kamchota kamanda yupi? Mbona Ndungai kapiga bilion 12 na kuitaka Bandari ya Bagamoyo lakini kwenye pesa hamjamgusa lakini kwenye Bandari ya Bagamoyo mmepinga? Tambua kuwa CCM wengi hawapendi unyanyasaji wenu na pia hawataki tabia ya kuwabambikia kesi kuwanunua wapinzani kuja kuwapa vyeo wakati wana CCM asilia wapo hawana vyeo
 
Huwezi kuja na hoja nzito alafu ccm wakikujibu kwa hoja, bc wao watakuja na vihoja...hoja kwa hoja kwao ni mwiko
 
Acha ngonjera mkuu..jibu hoja za mhe.zitto..hv nyie watu wa ccm mkoje??
Zitto anapenda kucheza na kiki Yaan likitokea hili anapitia hapohapo!! Kwà akili mlizonazo mkuu kama ndio hizi huwa naona hamfahi hata ujumbe tu wa nyumba 10!!
 
Zitto anapenda kucheza na kiki Yaan likitokea hili anapitia hapohapo!! Kwà akili mlizonazo mkuu kama ndio hizi huwa naona hamfahi hata ujumbe tu wa nyumba 10!!
Jibu hoja comredy... kwnn kwenu hoja huwa ni kikwazo?? Kama ameongopa si muje na ushahidi?.
 
Huwezi kuja na hoja nzito alafu ccm wakikujibu kwa hoja, bc wao watakuja na vihoja...hoja kwa hoja kwao ni mwiko
CCM inaongozwa na watu wa zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM pekee ni vigumu kujua Athari na mabaya yao.
 
Zitto anapenda kucheza na kiki Yaan likitokea hili anapitia hapohapo!! Kwà akili mlizonazo mkuu kama ndio hizi huwa naona hamfahi hata ujumbe tu wa nyumba 10!!
Kazi ya upinzani ni nini? Huwezi kuwapangia cha kufanya wapinzani wanapita na kila kitu kibaya cha CCM na siyo kiki ni kazi yao, Akili zipi za wapinzani hazifai kuwa wajumbe wa nyumba kumi? Wapinzani wangekuwa na Akili ndogo wewe na CCM yako Msingetumia matilion na mabilioni kuwahujumu kuwadhoofisha kuwabambikia makesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali, mngeacha watanzania wenyewe ndiyo waamue.
 
CCM kaeni mtambue kuwa kazi ya upinzani siyo kuifagilia CCM, kazi ya upinzani ni kuikosoa kuipinga Serikali kwa kila mapungufu mabaya yote kuanzia Dogo mpaka kubwa pasipo kuchoka kubagua chochote.
 
Kuna ngiri wao ni kupinga tuu..wacha waendelee kuilaumu serkali kwa umaskini...huku nchi yao ikiwa na fursa kemkem ambazo hata haziitaji mtaji zaidi ya akili yako na nguvu.hakuna mtu aliekwenda kuomba huko tutangazwe ni Maendeleo dhahiri yaliyofichua hili.Zitto anaandika akikusudia kukijenga chama chake kupitia mambumbu fuata upepo wasiopenda kazi,na hatimaye chama kitamnufaisha yeye.
 
Waswahili walisema, mpenda chongo, huita kengeza.
 
Watanzania tunashukuru Rais Magufuli kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati ndani ya miaka mitano tu

Tukimpa muda zaidi tunaweza kuipiku USA
Dah nikajua basi utajibu hoja za msingi hapo kwa kufafanua kitakwimu na kimahesabu, au wewe na wenzio mko kimaneno maneno zaidi, yani kuongea mipasho tu ????!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…