Watanzania wanaosoma Urusi huwa wanachezewa akili na Warusi?

kuna ticha alinifundisha physics, alisoma urusi, ata hakumaliza chuo akarudi, jamaa alikuwa anavuta sigara kupitiliza, darasan anakuja ananuka sigara, akinunua tshirt anaivaa mpaka ipoteze rang, mwl mwingine akimgongea kipind chake kimeisha, anamtukana, mwanafunz akizingua hatumii fimbo, ni konz kichwa kinatoa saut as if kitapasuka, ingawa ilikuwa mara chache lakini ikikutokea hutosau, aliwah kumpigia jamaa ang m1 yuko virginia sasa hv ila hatasahau, mitihan yake ni maswali ya example zile zile za kwenye daftal, shortly jamaa hakuwa sawa, inasemekana barid ya huko ilimfanya awe addicted ya sigara akaenda mpaka bangi.
 
chezea putin wewe huwa anachukua akili za wabongo msukule
 
Privyet papushka & devushka


Приветик...о чём тут речь?
 

Yupo kawe ana waya waya tu kazi kuomba viroba kwa askari, yule haja vurugwa kusoma outside ila migogoro yake na huyo uliemtaja ndio anadai kamvuruga! Chezea urithi wewe! Af yeye ndio kidume pekee..lazima ukalishwe!
 
Yawezekana na Kiranga ni zao la huko...! Natania, yeye alisoma kitabu kimoja hivi ndicho kilichombadilisha...siyo Urusi.

Lakini kiukweli hata mimi nikijiuliza maswali kuhusu Bible na Quran nasema Mungu hayupo maana vinajipinga sana hivi vitabu.
 
Last edited by a moderator:
Wengi wao wakitoka huko huwa hawaamini kabisa uwepo wa MUNGU halafu wanakuwa watu wa MITUNGI balaa yaani muda wote wapo nduki.


Hayo mambo mliaminishwa enzi za Soviet Union. Sasa hivi Urusi ni tofauti kabisa kiongozi. Unakunywa kwa vile unapenda na ni hobby yako.

Yapo makanisa mengi ya madhehebu tofauti, ni uchaguzi wako ukasali wapi. Zipo pombe na spirits za sina zote, ni wewe tu uamue unataka kulewa au kufanya kilichokupeleka.
 

Mkuu una uhakika na maneno yako kuwa serikali haisomeshi watu nje ya nchi?
 
Jamaa yangu wa karibu mbona yuko fresh mpaka leo alichukua udaktari na leo hii ni doctor mkuu wa wa hospitali ya mkoa.

Hii si kweli...inategemea na msimamo wako

Unasema sio kweli kwa mfano mmoja??...Vp hawa wengi wanaotoa mifano sawa na mleta uzi??
 

Mkuu hapo kwenye red cjaelewa lengo lako ni kumsifia kwa hicho kitu au ni moja ya dalili za uchizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…